Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe Acha ujinga Kwan umesahau tuliwaunga mkono kwenye kiti cha UN na wakaramba mchanga hawa lazma tucheze nao kama watoto wadogo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Subiri uone kama atapita Niko pale nimekaaπŸ˜…
Wewe mbumbumbu,Tanzania Ina kura ya VETO hapa Africa ,mambo ya UN na uchaguzi wa Africa wapi na wapi?
 
Mark my words. Raila hashindi hiki kiti
Tatizo yupo na washindani dhaifu. Hakuna mshindani toka ECOWAS na North. Yupo na mshindani toka Djibouti, Mauritius na Madagascar.

SADC inakuwa na wawili. Huku Tanzania ikifanya ushawishi, SADC achaguliwe. Upande mwingine Obasanjo atafanya ushawishi ECOWAS.

Automatic Raila atashida. Maadamu Obasanjo na Tanzania zinamsapoti.

Tuwe positive katika hili
 
Hapa cargo train ya SGR haijaanza ikianza si watachanganyikiwa hawa.
 
Bado KAA workers airports zote zitakuwa grounded soon. Shida serikali ni bankrupt imebaki kucheza na exchange rates kupata a breathing space lakini haisaidii ndio kwanza inaongeza tatizo kubwa sana huko mbeleni kwa KSh.
 
Ndio ndio usijifanye hujaona brags za Teargas tulipokamilisha yetu ya Dodoma
It was a response to your idiocy. Hukumuona akisema eti tulijenga State House wakati mnaishi msituni. Wewe huoni aibu kubrag eti mmejenga hoteli ya kwanza kwenye eneo wakati hiyo hoteli hata mababu zenu hawangekubaliwa kuikaribia? Yani mmenyang'anywa shamba na mzungu, akajenga hoteli yake kwa manufaa yake ya kuwacolonize na bado mnabrag nayo? Stockholm's syndrome is high in you guys................alafu kila siku mnasema sisi tunashobokea wazungu. I call it projection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…