BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,051
- 2,548
Tuonyeshe nyuma yake...Aerial view.Let me bust your bubbles, That area is very different now. Too bad you guys like to post things that you were supposed at least to do a little reserach, matokeo yake mnadhalilika na mnaonekana hamnazo. Kuna post juu umepost hadi picha za kahama😀
You posted a very old photo of the area that has already transformed.
see the photos below
ha ha umeuwa aisee......umetisha[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mkifikia level hio unitag😀😀😀😀😀Hizo picha hapo juu zafanana na za miji ya Mombasa na Malindi. Kudos kwa Dar slum naona inajaribu kuipiku Mombasa lakini bado.
Endelea kujipa moyo😀😀😀Tuonyeshe nyuma yake...Aerial view.
nimegundua mnadevelope kando ya highways pekee...ndio maana picha zenu outside TPA ni along the roads.
Hapana, hii thread haina kushinda wala kushindwa, ukifanya hivyo itabidi ifike mwisho, na lengo lake iweze kuendelea ili kuonyeshana mambo mapya yanayotokea, kifupi hauruhusiwi kusalimu amri, wewe lete mambo na sisi tunashusha vitu, bampa to bampasawa mmeshinda.....Dar ni mji wa kimataifa na imeshinda Nairobi kwa mbali sana....lol
kwa siku 5 mfululizo thread haijawa friendly kwa wakenya....kila plan wanayokuja nayo inafeli.
walikuja na plan ya nairobi + mombasa vs dar es salaam,dar ikaibuka mshindi.
wakaja na plan ya nairobi vs kariakoo, kariakoo ikaibuka mshindi.
wanataka wajaribu nairobi vs upanga ila wanaogopa cos wanajua kwa vyovyote vile upanga itashinda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Water World - Dar es salaam
Kenya people living below the poverty line:46%Seriously watu wanakunywa changaa
This is pipeline estate 20 km from CBd....but this is the cbd of dar watu wanaishi cbd wamama wanaendea maji kwa mtoniNairobi
Some guys are mad wakiambiwa dar is a two towered city..ona Dar bila the two towers
Na hii kariakoo unamuachia nani?😀😀😀This is kariako cbd
Upper hill cbd