Serving coffee at 160kph....dont try this at ''home''Hivi lile nginjanginja lina huduma kama hizi za kwenye ndege au mpaka uende kwa dining car? π
View: https://youtube.com/shorts/xKOPoDOxDl0?si=72PMso1HEDGtGMy8
Haya mambo mara ya mwisho niliyaona London Waterloo Station.Vitu hivi Kundustan hawapendi kuviona
View attachment 3051537
View attachment 3051540
View attachment 3051551
View attachment 3051555
mmmmmhKulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Far away wanaandamana kwasababu ya ugali π π π aibu naona mmwhat i know is that kenya is far away better than TZ na iko wazi kabsa
kwasababu wanatambua haki zao kama wananchi kuliko nyie mnaoogopa kufight haki zenu kwasababu ya uongozi wa kimabavuFar away wanaandamana kwasababu ya ugali π π π aibu naona mm
Una fight haki ya kusema ruto must go na bado Yuko kwenye kiti kile kile na anateua mawaziri wale wale, so ni haki gani mumepata hapo zaidi ya kuchoma Mali za watu hawana hatia??π π πkwasababu wanatambua haki zao kama wananchi kuliko nyie mnaoogopa kufight haki zenu kwasababu ya uongozi wa kimabavu
Uliwahi kuona wapi sokwe mweupe?πkwasababu wanatambua haki zao kama wananchi kuliko nyie mnaoogopa kufight haki zenu kwasababu ya uongozi wa kimabavu
Tangu bureti treni lilivyoanza safari kuelekea Dodoma nyangau wote wamekimbia uzi wanachungulia na kutoka kimyakimya while we are having a field day.Waliomba waoneshwe 1cm of electrified SGR now wanalia π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Tukiwaambia kila kitu waliachiwa na wakoloni wanalia, tangu uhuru hawajawahi kujenga airport kwa mikono yao, hawajawahi kujenga bunge wala ikulu.The country with only 1 airport πππ
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1816439099370197327?t=hpdm1u7PJblR41wnb30ImQ&s=19
Message sent and delivered π€£π€£π€£π€£Serving coffee at 160kph....dont try this at ''home''
These people are stupid akipata au akikosa cabinet post wao wanafaidika na nini?π π π π π π aibu zenu nipeni mm plz
View: https://x.com/K24Tv/status/1816450831845323219?t=iVsCKZg4yKkEk2DOpCn2xQ&s=19
Joined today, mwambie arudi kwenye account yake π€£ π€£ π πFar away wanaandamana kwasababu ya ugali π π π aibu naona mm
Uongozi wetu hautupi sababu za kuingia mtaani.kwasababu wanatambua haki zao kama wananchi kuliko nyie mnaoogopa kufight haki zenu kwasababu ya uongozi wa kimabavu