Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya mpo makini sana katika kuchagua picha za kutuonyesha.


hizi picha hamjawahi kutuonyesha hata siku moja.

bila ya effort ya NDINDA kamwe tusiongeona uchafu uliojirani na hayo majengo "yenyu"...takataka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]







 
mombasa sai iko kenya na president wa huko ni uhuru..ila zanzibar ina president tafauti
si baada ya kuwadhulumu watu wa pwani mumewadhulumu na kuwapiga juuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mpaka leo hii mtu wa pwani hana haki na anamasiaha duni
 
Wacha kujidaganya.na Zanzibar niya wenyewe....
naona kimekuuma sana kuskia zanzibar iko tanzania rudia tena kusema watanzania wakitaka kwenda znz wanatumia passport rudia sikuskia vzrπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
alaf wanakwambia world class city ila leo mumewavua chupi sio poa jamani wahurumieniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mnaumia sana mkiona umoja na amani yetu Tanzania.
Kinachowauma kwanini leo tunaigeuza zanzibar kua na beach hotels ambazo zinaongoza africaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wakati mombasa na lamu hazina maendeleo yoyote
 
mnaumia sana mkiona umoja na amani yetu Tanzania.
Nyie mafala sana Zanzibar iwajui INA rais wao na serikali yao soo mnapigwa. Na msa mnakimbia kwa inchi yah wenyewe .[emoji106] [emoji106]
 
Inaitwa democracy na chenu chii Motoni kwa sababu yah kufuatia wakenya kama senge
Sijakuelewa, ila hata huko kwa mabwana zenu wazungu, wamepeana mamlaka ya ndani walipo ungana, mfano ni UK, ninyi mnadhulumiana kama mbwa mwitu, hamtopata amani, MRC is live and well, imeongezewa nguvu na Joho na Kingi, mtaendelea kumwaga damu huku wenzenu tunakunywa juice kwa mrija[emoji23] [emoji23]
 
Alaf joho kawaafungua sana macho watu pwani maana walikua wamezibwa macho ndio maana wakikuyu wanamchukia sana johoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
this is my favourite prism,KCB and Britam(all owned and built by kenyans congrats to my country people)
thanks for such amazing photos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…