Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kiswahili je?
rock=mwamba/miamba
pigeon=njiwa

njiwa wa miamba/mwamba...sina hakika ila nimejiongeza tu,so usichukue tafsiri yangu kama jibu sahihi.

NB:
hawa njiwa wapo wengi sana tz,watu wengi wanawafuga majumbani mwao.
 
I.love.....mombai...oooops....mombasa


Acha kujiaibisha. Huu uchafu ndio mnalinganisha na dar. Hahahaahhaahahahaahahahahahahahahahahahahaahhaahahahahaahahahahahahahahahahaah mnaniuwa. Sijawahi cheka kama leo. Yani hadi umeweka render lakini bado ni uchafu. HahahaahahahahπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
rock=mwamba/miamba
pigeon=njiwa

njiwa wa miamba/mwamba...sina hakika ila nimejiongeza tu,so usichukue tafsiri yangu kama jibu sahihi.

NB:
hawa njiwa wapo wengi sana tz,watu wengi wanawafuga majumbani mwao.
Wako wengi mijini karibu na visiagi vya mahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…