Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

All your trains are below 200km/h. Kenyan trains are faster than all your trains.
Going into tirades about our SGR and trains is all what you can do to alleviate your pain. I telepathically feel you. Get used to it, you will be fine.

Jiran
Jirani yetu kwa mambo haya ni Morocco na Egypt๐Ÿ˜
Morocco ni less than 300Km.
 
Usilie kijana jifunze kukubali mambo huwezi badilisha. Mizigo yao huwa nyingi ni imports wewe zero brain unaongea kuhusu exports. Jiulize DRC Ina options ngapi za bandari vis a vis Uganda. Huoni aibu mizigo ya dar kushushwa Mombasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huyo huwa Hana akili. DRC 90% uses Atlantic Ocean compared to Indian Ocean which only handles 5% of their goods. The remaining 5% is by air.
 
Kati ya hiyo budget yenu kubwa unalipa madeni percent gani nataka twende wote taratibu tuu mdogo mdogo budah.
Lazima tulipe deni, ama unadhani Kenya ni kama Tanzania that usually doesnโ€™t pay their debts? Hakuna siku utapata Kenya imeshindwa kulipa deni hadi wakasamehewa like Tanzania did.
 
You guys are hilarious. So you want us to stick to that Germany colonial era railway. Kimewauma tu reli yetu ni modern kuliko yenu. 21st century mnajenga reli ambayo sisi tulijenga 20th century.
Acha uongo, SGR mlijenga lini in 20th Century? Ama wewe pia hujui what SGR is?
 
Tanzania has no hopes of getting out of LDC group anytime soon๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


  1. Angola was supposed to be removed from the group in December 2023 but it was delayed to later days.
  2. Sao Tome will be removed from the LDC list in December 2024
  3. Bangladesh and Nepal will be removed in 2026
  4. While Solomon Island to be removed in 2027.

Tanzania bado hawana dalili za kuondolewa in the group of LDC.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Teargas naona umewapiga Hawa vinyangarika wa kusini vibare man solo. Watandike kabisa. Mimi nasoma tu nikicheka.
Hawa nimeshinda. Mtanzania ukitaka kulemea just deal with facts. Saa hii kuna fala (RRONDO ) anasema ati Tazara with a gauge of 1000mm ni SGR๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Their knowledge is always very limited.
 
Sasa hiia sgr inajengwa ifanye kazi gani juu mzigo nayo ni ZERO!!!
Hawakufanya any feasibility study or ni juu Kenya walijenga wao wakacopy paste.
Shida hapo mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ