mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,523
- 6,934
Their market does not support the project…. It’s like opening a Maybach dealership in Burundi…it’s not sustainable… Bongo SGR was a misplaced priority derived by inferiority complex….🤣🤣🤣Walifanya feasibility study and it was found to be a white elephant lakini magufuli akasema ijengwe hivo hivo😂😂
Is it the largest cargo plane in EAC or not?Kwani ni uongo kwamba your cargo plane only managed to carry 400 tonnes mwaka mzima?😂😂😂
Duh poleni sana kwa maumivu 🤣🤣🤣Their market does not support the project…. It’s like opening a Maybach dealership in Burundi…it’s not sustainable… Bongo SGR was a misplaced priority derived by inferiority complex….🤣🤣🤣
So what do want to potray here?
Kati ya hiyo budget yenu kubwa unalipa madeni percent gani nataka twende wote taratibu tuu mdogo mdogo budah.Our budget is twice theirs yet wako hapa wanapiga kelele.
Pole kwa maumivu mwaisa sadima 🤣🤣🤣 zoea tu, hakuna namna.. by the way Leo ni day 2 ya operation ya treni zetu za SGR. Joka litaanza safari zake mwezi ujao.Their market does not support the project…. It’s like opening a Maybach dealership in Burundi…it’s not sustainable… Bongo SGR was a misplaced priority derived by inferiority complex….🤣🤣🤣
Stupid reasoning out of that budget do you know what percentage goes to pay debts? Soma budget yao tena taratibu na yenu pia ndio urudi hapa tuonger vizuri.Vumbi nation has been overtaken by Uganda.
Hiyo ni royal class kwenye mtungi wenu hakuna huduma kama hiyohaya sasa mlipe 120,000 tsh from dar to dodoma
Hutaki walipe madeni ndege zao zisishikwe Kama vumbi nation 😃Stupid reasoning out of that budget do you know what percentage goes to pay debts? Soma budget yao tena taratibu na yenu pia ndio urudi hapa tuonger vizuri.
🤣🤣🤣🤣🤣in their shallow minds they just wanted to "outshine" the Kenyan sgr .They conducted no cost benefit analysis to this electriki sgr of theirs
You guys are hilarious. So you want us to stick to that Germany colonial era railway. Kimewauma tu reli yetu ni modern kuliko yenu. 21st century mnajenga reli ambayo sisi tulijenga 20th century.Their market does not support the project…. It’s like opening a Maybach dealership in Burundi…it’s not sustainable… Bongo SGR was a misplaced priority derived by inferiority complex….🤣🤣🤣
Out of the expected collection if they will really reach the target, 19bn dollars to be used for loan repayment. What is left is peanuts wont even suffice to pay a ballooning wage bill let alone social services and development projects.
hizi ni kelele!
Hata mizigo ya Tanzania kutokea Kunyaland ni fake as well nataka kujua ni kipi hicho Uganda inaagizaUsilie kijana jifunze kukubali mambo huwezi badilisha. Mizigo yao huwa nyingi ni imports wewe zero brain unaongea kuhusu exports. Jiulize DRC Ina options ngapi za bandari vis a vis Uganda. Huoni aibu mizigo ya dar kushushwa Mombasa 😂😂