chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Uganda huo mzigo wote ni wa nini na hana madini? Fake nyingine buana, yaani Uganda inaizidi DRC kwa cargo volume from both Tanzania and Kunyaland ports huku ikiwa haisafirishi hata debe la mchanga? ๐๐๐ Fake data za Kunyaland actually inaizidi hata Tanzania yenye population, export, GDP na landmass kubwa zaidi yakeWewe ni maskini hata hujui what people are discussing here.
What is this kama sio fact?๐๐ AMA leo hii unataka niache kuamini serikali yako nikuamini wewe fukara?
Here are facts. Total transit goods passing through Tanzania is equal to ya Uganda alone passing through Kenya. Neighboring countries control 50% of the total goods that passed through your ports.
Uganda are leaving your ports.
View attachment 3017864
Watanzania wengi wanazidi kutumia Mombasa port.
View attachment 3017866
Bajeti ya 2024 imesomwa juzi mkuu ambapo ni makadirio ya mapato na matmizi kati ya 2024-2025, unataka kuona mradi gani .? ๐คฃ๐คฃ๐คฃau hujui shughuli za kiserikali zinavyoendeshwa.?Nionyeshe Mradi mkubwa mpya katika budget yenu ya 2024, keyword ni mpya usinitajie miradi ya Magufuli ...
Mnakusanya billion 17, mnapanga kutumia billion 31 mna akili mna tope?
Hio iliosomwa juzi ndio nataka kwani tunaongelea nini hapa, ulidhani ntakupa nafasi ulete miradi yalioanzishwa na magufuli ๐๐๐Bajeti ya 2024 imesomwa juzi mkuu ambapo ni makadirio ya mapato na matmizi kati ya 2024-2025, unataka kuona mradi gani .? ๐คฃ๐คฃ๐คฃau hujui shughuli za kiserikali zinavyoendeshwa.?
Soma huu ujinga wako hapo juuโ๏ธNionyeshe Mradi mkubwa mpya katika budget yenu ya 2024, keyword ni mpya usinitajie miradi ya Magufuli ...
Wewe ni zuzu hujielewi wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ bajeti imetajwa juzi, Leo unataka kuona miradi mpumbavu zuzu wewe. ๐คฃ๐คฃHio iliosomwa juzi ndio nataka kwani tunaongelea nini hapa, ulidhani ntakupa nafasi ulete miradi yalioanzishwa na magufuli ๐๐๐
Usilie kijana jifunze kukubali mambo huwezi badilisha. Mizigo yao huwa nyingi ni imports wewe zero brain unaongea kuhusu exports. Jiulize DRC Ina options ngapi za bandari vis a vis Uganda. Huoni aibu mizigo ya dar kushushwa Mombasa ๐๐Uganda huo mzigo wote ni wa nini na hana madini? Fake nyingine buana, yaani Uganda inaizidi DRC kwa cargo volume from both Tanzania and Kunyaland ports huku ikiwa haisafirishi hata debe la mchanga? ๐๐๐ Fake data za Kunyaland actually inaizidi hata Tanzania yenye population, export, GDP na landmass kubwa zaidi yake
Tunataka kuona pesa ambazo ziko allocated kwa infrastructure, wewe ****** firimbi mbona unakichwa kizito, mimi huniwezi kunikwepa kwa mtego wangu๐Soma huu ujinga wako hapo juuโ๏ธ
Wewe ni zuzu hujielewi wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ bajeti imetajwa juzi, Leo unataka kuona miradi mpumbavu zuzu wewe. ๐คฃ๐คฃ
Hutaki tena kuona miradi, sasahiv unataka kuona pesa.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nikikuita wewe ni kilaza nitakoa nakuvunjia heshima.? Tafuta bajeti ya Tz soma utapata kuona pesa zilizoelekezwa kufanya miradi, chizi wewe.Tunataka kuona pesa ambazo ziko allocated kwa infrastructure, wewe ****** firimbi mbona unakichwa kizito, mimi huniwezi kunikwepa kwa mtego wangu๐
****** firimbi umesema budget ya Kenya na Uganda zilizosomwa ni hewa, nikakuambia ulete allocation yenu ya infrastructure hutaki wataka kutuletea miradi ya Magufuli, kwenda kacheze mchezo wako kuposti viatu huwezi mjadala wowote.Hutaki tena kuona miradi, sasahiv unataka kuona pesa.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nikikuita wewe ni kilaza nitakoa nakuvunjia heshima.? Tafuta bajeti ya Tz soma utapata kuona pesa zilizoelekezwa kufanya miradi, chizi wewe.
Usiwe kama mwanamke malaya unageuza geuza maneno, ulimba uonyeshwe mirambi ya 2024, uongo.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ halafu kitu kingin, miaka yote nyie mmekua ba bajeti kubwa kuliko Africa mashariki nzima, Leo nataka uniletee miradi mliyofanya in the past 5 years in kenya na mimi nitakuletea miradi ya Tz ili tuone ni bajeti ipi ni kubwa na bajeti ipi ni hewa, kati ya nyinyi wapumbavu vs Tanzanians. ๐คฃ๐คฃ nasubiri****** firimbi umesema budget ya Kenya na Uganda zilizosomwa ni hewa, nikakuambia ulete allocation yenu ya infrastructure hutaki wataka kutuletea miradi ya Magufuli, kwenda kacheze mchezo wako kuposti viatu huwezi mjadala wowote.
Show me any recent report that says Tz is an LDC country.They were comparing Non LDC countries. Remember Tanzania ni LDC while Kenya and Zimbabwe arenโt๐๐๐. Also remember Zimbabwe is wealthier than Tanzania in terms of GDP per capita.
Mngekuwa ranked hapo Tanzania could be the worst.