Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha Japan 250% Kenya 54% period..kulialia hapa ya nini...USA imekua na deni ya over 80% tangu 1880s unatuletea bongolala hapa
kenya ni 60% wala usijifariji, japan sio size yenu tafuteni mifano haiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
nilikwambia america hata awe na deni 100 trillion usd kwa miaka 20 hawez kutetereka kama kenya kwa sababu source za biashara anazo nyingi sana
 
history ya eni yao ilianza ata wakiwa ldc..punda wewe
 

tourist jambo la kawaida sana...
 
bado hamjajenga rail..ukiongezea deni ya 10b yenu inakua 70% ya gdp yenu ndogo..alafu kenya ni 54%
mpaka sasa hatujaanza kutumia mkopo na tushatoa pesa ya phase mbili kutoka mfukoni 3.16 b usdπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tanzania ianjenga reli mpaka rwanda and burundi kwa 7 b usd mpaka sasa 3.16 tushatoa mfukoni kwetu na uelewe mpaka sasa hatujachukua mkopo sehemu yoyote
kenya inajenga kwa 13 bπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ only phase one mushakopa 3.8 b usd bao phase 2n na muna deni tayar ya 60% so chukua 13 - 3.8 = 9.2 ongeza kwa deni lenu ya 60% jibu utalipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…