Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyan Education is limited. Mama Ngina brainwashed you. 🤣 🤣 🤣 🤣 Ndio Politicians wa kenya wanawadanganya hivyo. Kweli wakenya ni Ng'ombe nimeamini.
Hata sisi tumeamini wewe ni Primary school drop out… mtu amesoma hawezi kuwa na ujinga wa máswali kama wewe… What did Nicxie write that was not sensible?… everything he said was 💯 correct… So respond like an IR degree holder you claim to be not like an Ujamaa village idiot… 🤣🤣🤣
 
October 5–7, 2003 Mwai Kibaki alikuwa na State visit USA
February 19–22, 1980 Daniel arap Moi alikuwa na State visit USA

NImekutajia baadhi ya Rais wa kenya. Sasa unapokuja kupiga kelele kwa kutumia siasa zenu mnavyodanganywa na nyie mnakubali. Stupid.

Ukipewa taarifa fanya research kwanza.
 
Wewe ulinikimbia I asked you Questions but unakimbia. Jibu kwanza maswali yangu.
 
Wewe ulinikimbia I asked you Questions but unakimbia. Jibu kwanza maswali yangu.
Since you are a Primary school drop out and know nothing about Politics , let me respond like a holder of a Masters degree in Political science and International Relations, something you know nothing about… what you are doing is called trying to engage in filibustering… that failed and you are now in a stage called Gish galloping..🤣🤣… find out what that means…🤣🤣🤣
 
You hold nothing than empty words 🤣 🤣 🤣 Nenda kajipange upya.
 
Sijawai ona Wakenya walifuatilia Samia akizuru nje hivi.😂
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇


 
🤣 🤣 🤣 🤣 Education system ya kenya ni hopeless kabisa. Eti na wewe unajiita msomi
Best education system in Africa…. Prepared me well for my future… American system was a piece of cake for me due to the solid foundation i received in Kenya…And if I ever become the President of Kenya, I will claim back Kilimanjaro and make the oceanic border straight equivalent to our Somali border, meaning you gonna loose half of Pemba…remember this…🤣🤣🤣
 
Best according to who? Ndio unadanganywa hivyo na Mama Ngina. 🤣 🤣 🤣 🤣 Everything in kenya is Utopia
 
Kwanza hao wajinga majina ya our national parks, yanafanyaje si waandike kichuguu Mount Kenya, Amboseli, LAMU (si wanadai Kiswahili chao), Lake Turkana etc why washobokee vyetu?
 
Vita ni hasara sana,hela hizi zingeenda kwenye maendeleo ila ndio hivyo tena hakuna maendeleo bila usalama 👇👇

View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1792859773190230351?t=OpTyHgJtGfuwb18ZvXTA_A&s=19
We acha ujinga unadhani wajeda waondoke kule Congo alafu asumbuliwe mwisho pasikalike Tanzania ikose mizigo ambayo inaongeza pato kwa kupitia bongo port.

Na Mozambique unajua wanasaidia kiasi gani kusini kuwe na utulivu hadi gesi iendelee kuchimbwa, makaa ya mawe, kilimo cha chakula?.

Pia jeshi letu linahitaji modern equipment kama UAV drones maana MRLS zetu nazo zifanye kwa ufanisi tuache kuharibu bombs.

Usalama ni kitu cha kwanza kwa nchi maana ukivurugika ndio hivyo mengine hayaendi.
 
Ila mbona unawekaga mihemuko humu?

Sijawahi ona mnatibuana humu like tunavyotibuana.
 
Mliziiba ndege zote za EAA maana zilikuwa huko huko kenya. So Tangu muibe ndege zetu kuna jambo lolote mmefanya. Kumbuka 1978 Tanzania and Uganda ziliingia vita. 🤣 🤣 🤣 More than 40 year bado Kenya inayumba
Shares zenu kwa EAA zilikuwa 9%, Mlitegemea shirika ligawanwe visawa wakati mnamiliki 9% pekee? Heri Mganda alimiliki 23%. 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…