President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,211
Ukitaka kuwajua kuwa elimu yao ni duni. Hebu nenda kwenye mitandao ya kijamii uwaone wanachojadiliana. Ni upuuzi mtupu na kutafuta recognition by doing nothing. Wakenya Mzungu aliwafanya vibaya sana.Fact. ๐
Wachezaji wapo mita 200 kutoka kwa watazamaji, Africa bhn๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃViti viko stadium yote wee mzee. Usidhani hii ni CCM Kirumba. Ama unadhani hiyo Green, Black, white na Red ni rangi za kupakwa? Sisi hatuweki viti nusu nusu kama nyinyi bro.
๐คฃ ๐คฃ
Helicopter limechoka kweli kweli aisee ni kama lile lililombeba marehemu cdf wenu, sipandi humo mm.Helicopter ambayo imeanguka, wachambuzi wa air crash kutoka dar slum wanasemaje?
View attachment 2994916
usijaribu kuficha ujinga wako eti wee kazi yako ni kukera. You're stupid and everyone knows that.
Tanzanians ๐๐๐๐ seriously, ni kuandika vibaya ama nini!? Vipi wanawake wakitanzania wakakaa kama wanaume kushinda wanaume wenyewe!!! Eeeh !!Watasema sasa hivi na huyo pia ni mkenya ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View: https://twitter.com/wasafifm/status/1792620905736061373?t=qDjnQRenorX6WBBUV4LEGw&s=19
Maumivu yakizidi meza poisonTanzanians ๐๐๐๐ seriously, ni kuandika vibaya ama nini!? Vipi wanawake wakitanzania wakakaa kama wanaume kushinda wanaume wenyewe!!! Eeeh !!
Sasa kwanini ulidanganya eti mlinunua dreamliner 10??Kila Mkenya anajua hizo ndege leased zimekuwa leased from Kenyatta Family. Usikwepe swali nililokuuliza, hiyo information ya loan umetoa wapi?
Kwani tulipewa bure?Sasa kwanini ulidanganya eti mlinunua dreamliner 10??