Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maisha yanabadilika kwa haraka sana. Leo kinyozi ananyolewa tena kwa kutumia kipande cha chupa
 
Heee
 
Kati ya KBC na Azam TV ipi ina vifaa vya kisasa HD?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kubalini ukweli kua Azam TV ndio kaipandisha Sana league yenu Mulikua mushapoteana na Kwanza KBC alikua wapi before Azam TV??
Ndivyo mulidanganywa Kenya hakuna camera HD 😅😅😅
 
Leo nataka nipitie mikoa yote ya Tanzania na kila mkoa nitaelezea shughuli za kiuchumi zinazoendelea katika mkoa huo.

Hii hapa ndio orodha ya mikoa yote ya Tanzania. Mikoa ipo 31.


  1. Arusha Region
  2. Dar es Salaam Region
  3. Dodoma Region
  4. Geita Region
  5. Iringa Region
  6. Kagera Region
  7. Katavi Region
  8. Kigoma Region
  9. Kilimanjaro Region
  10. Lindi Region
  11. Manyara Region
  12. Mara Region
  13. Mbeya Region
  14. Mjini Magharibi Region
  15. Morogoro Region
  16. Mtwara Region
  17. Mwanza Region
  18. Njombe Region
  19. Pemba North Region
  20. Pemba South Region
  21. Pwani Region
  22. Rukwa Region
  23. Ruvuma Region
  24. Shinyanga Region
  25. Simiyu Region
  26. Singida Region
  27. Songwe Region
  28. Tabora Region
  29. Tanga Region
  30. Unguja North Region
  31. Unguja South Region
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…