ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,612
Tulikuwa tunasubiri Max zije na Airbus zilizokuwa matengenezoni zirudialfa and omega kelele za Nationmedia? mbona si gazeti la Kinshasa? ET imeongeza frequency! na nashangaa kwanini Air Tanzania haiombi route ya Kinshasa?
OhkTulikuwa tunasubiri Max zije na Airbus zilizokuwa matengenezoni zirudi
Wamwzimika kama MshumaaKwenye tourism siwasikii tena, kulikoni π«΄
View: https://twitter.com/GatewaySafari/status/1787393946051641704?s=19
KInyonge sana hii.Photo taken in Amboseli.
Kundustan huu ubunifu mnao huko kwenu? ππPhoto taken in Amboseli.
Kuna fala mmoja alikasirika baada ya Wabongo kumwambia US celebrity mlima Kilimanjaro upo Tanzania! Akapokea za uso humu!KInyonge sana hii.Sasa hivi unapigie kelele picha. Umekuwa Photometer
At buffalo44 jinsi ninavyokueleza daily juu ya hii tabia yako ya kulialia, huyu hapa Kelis, mwanamziki wa Marekani yupo Kenya. Kasema Ako kwa farm ya rafiki wake hapa Kenya na kaonyesha kwa video Mlima Kilimanjaro ukaonekana. Hapo hapo wabongo wakaleta siasa zao za Mlima uko Tz wacheni kuuiba. Hata Kelis naye amechoka nao kamjibu aache ujinga na hilo analijua.πππ
Alafu nimependa jinsi Wakenya walivyojibu eti saa zingine wao husema Air Tz ni ya Kenya ndio acheke jinsi wabongo mnavyorukwa na akili. Ila Wabongo bana.ππ
View attachment 2976450View attachment 2976451View attachment 2976452View attachment 2976453View attachment 2976455