President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
CCM ni dude kuuuuuuuuubwa mno.UDA wanajaribu kuiga CCM sio?
Huku kino tid hatuna habari nae ila akitua Nairobi ni DhahabuOy TID kaondoka na kijiji huko Kenya, ndugu zao wanatuabudu ila hawa mbwa wa humu wanajifanya kukaza fuvu๐คฃ๐คฃ ๐
View: https://www.instagram.com/reel/C6J-cY6IuWd/?igsh=czc1ZTlnd2YydTYx.
Wao wanazoa maji na Dump Truck ๐Angalieni sisi tunavyofanya kazi ni tofauti na kundurenda
View: https://twitter.com/PauloNaSilla/status/1784588205783646588?t=SJ40w8YriwMYBN0UtDqxbw&s=19
"Wacha inyeeshe tuone panapo vuja."
View: https://x.com/larrymadowo/status/1784591665237242231?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Nimeona hadi kuna embassies zimesafishwa na maji.Noma sana asee..
Mbona kama ni issue serious sana hii... Hasara yake ni kubwa mno.
Nimeona hadi kuna embassies zimesafishwa na maji.
Japo nimechelewa.. hata DRC wapoHizi ni nchi ambazo nimeona vilio vyao baada ya Tanzania kufanya majaribio ya treni ya Umeme.
1. Kenya
2. Uganda
3. Ghana
4. Zambia
5. Malawi
6. Burundi
๐๐๐
Nimefurah Sana Sana ๐๐๐ TeargasAsante sana eng Hersi Kwa uamzi ๐๐๐๐
View: https://www.instagram.com/p/C6T4Ejmt-XM/?igsh=NXlkcWpla3ZuNXo4
Yaani dunia nzima inaona lakini haka kanyangโau kipmeno arap kipchirchir Teargas bado kanaendelea kujizima data, ha ha ha๐"Wacha inyeeshe tuone panapo vuja."
View: https://x.com/larrymadowo/status/1784591665237242231?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Duh, hii noma! Poleni nyie nyang'auNoma sana asee..
Mbona kama ni issue serious sana hii... Hasara yake ni kubwa mno.
๐๐๐๐๐"Wacha inyeeshe tuone panapo vuja."
View: https://x.com/larrymadowo/status/1784591665237242231?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Ila wakenya aisee mtupumzishe kidogo hizi ni aibu kwa EAC.
Ati award ya best airport! ๐๐๐Yaani dunia nzima inaona lakini haka kanyangโau kipmeno arap kipchirchir Teargas bado kanaendelea kujizima data, ha ha ha๐
Dah hasara kubwa sana poleni sana jiraniYaani dunia nzima inaona lakini haka kanyangโau kipmeno arap kipchirchir Teargas bado kanaendelea kujizima data, ha ha ha๐