Tangu ujue trains zenu are inferior to Kenyan trains umekunja mkia kweli kweli.Mimi mwisho leo sibishani nao tena kuhusu SGR maana naona nitakuwa najidhalilisha tuu kulinganisha Sgr yetu na vitu vya hovyo
5H-ONE ni ndege ya RaisThat is a business plane. Nunulieni president a proper presidential plane. Ndio maana kila mara anasumbua Air Tanzania kuchukua ndege yao akisafiri.
Hehe π ngoja na 737 BBJ ije, sijui utasema nini....πAnd yet your President still uses a commercial airline in her businesses.
πππππUkiiga kunya kwa tembo utapasuka tako.Hakuna Cha Somaliland Wala nini ππ
View: https://www.instagram.com/p/C6RBLs7slEP/?igsh=ZGQydG80MnZweGNz
90% ya wakenya wa humu waliwahi kuwa machokoraa.Kumbe kijamaa NairobiWalker kinaishi maisha magumu namna hii? Miaka yote kinajishaua tu humu!
Acha kupiga kelele.Tangu ujue trains zenu are inferior to Kenyan trains umekunja mkia kweli kweli.
We had 4hrs before. Nyinyi mnatumia 4hrs from Dar to Dodoma. A distance shorter than Nairobi to Mombasa.Acha kupiga kelele.
Siku mtapoanza kutoka Nairobi to Mombasa masaa matatu ndio mje mtambe.
Tz tunatoka Dar to Dom masaa matatu,vipi SGR yenu inao huo uwezo!?
ππππ¨πππππUkiiga kunya kwa tembo utapasuka tako.
Ukiona ndugu wagombana shika jembe ukalime.
Somaliland wameshakataa kuwa chini ya Somalia/Moghadishu.
Hata Afrika iungane na Moghadishu aisee Somaliland hawataki.
Kuna vitu unatakiwa utumie akili kuvipambanua sio makalio.
Matako wewe Dar to Dodoma ni 500+ kilometres.We had 4hrs before. Nyinyi mnatumia 4hrs from Dar to Dodoma. A distance shorter than Nairobi to Mombasa.