Mbingu na ardhi 🤣🤣Alafu Ndugu zetu wana Mashemeji Derby kesho ila habari nzima ya Mpira ni Simba na Yanga.
Justice for Sofapaka bus
View attachment 2969117
Nyashinski anatoa banger kila siku.We ebu acha upupu, siongelei throwback hits, nataka unioneshe hit makers wenu hao wanafanya nini kwenye mainstream music kama hao Legends wetu, Nonini anaweza toa banger saa hii ikahit kama hiyo?
Sasa tabia zetu vipi na tunapendwa kwengine kwote. On the other hand, Kuna video ya Mnijeria humu akiwalalamika mlivyo wabaguzi na kujifanya wazungu. Nyinyi tu ndio mna chuki?😂😂😂Sisi hatuna shida personal na nyie ni tabia zenu ndio zinawahukumu, we are mostly friendly nation na kila mtu anajisikia poa kuwa na sisi, nyie ndio shida, hata we unajua namna mademu zenu ni pasua kichwa hasa when it comes to chapaa.
Nadhani tulijadili hili jambo nawe tukamaliza, na ulionekana kukubaliana na Mimi. Sijui mbona unalirudia. Meanwhile, ni nyinyi tu mnaotuchukia hapa Afrika, kwengine kwote tunapendwa Sasa nani muongo?😂😂😂Nadhani umekosea, hiyo statement inawafaa nyie kweli kweli.
You guys has been spreading misinformations about TZ since Nyerere day, hatujawasahau Corona Time, Magufuli Death.
Alafu unataka kujipa umuhimu hapa.
Eti tunapendwa kwingine kote, ha ha ha🙂Sasa tabia zetu vipi na tunapendwa kwengine kwote. Nyinyi tu ndio mna chuki?😂😂😂
Huyo Ogola hakukubaliana na matokeo ya Urais ya 2022 na pamoja na vigogo vingine walijaribu kuyapindua. Hicho kitendo kilimkera sana Ruto na alikiongelea kwa uchungu sana.Damn. What going on bro? Nani Mhusika Maana kwa CDF anaweza mtishia maisha ni Raisi, still naona kama jeshi lenu kuna mganwanyiko mpaka CDF anafanyiwa assassination.
Morale ya Jeshi itakuwaje?
I pray for you hiki kifo kisdrag tribalism, ikiwa ni assassination.
Wewe mbuzi katoliki Huwezi linganisha mziki wa Tanzania na Katitu.
Mziki wa Tanzania unajulikana kote duniani.
Alafu Ndugu zetu wana Mashemeji Derby kesho ila habari nzima ya Mpira ni Simba na Yanga.
Justice for Sofapaka bus
View attachment 2969117
AiseeeI don't think so, ulitunaga sana kwa helicopter ndio sababu wanaileta, mpaka chopper inaua CDF sio mchezo ni inshu mbaya kwa usalama wa Chopper za jeshi.
Anyway Poleni sana for your Loss.
Mzee wenu hapo anaonekana yupo patriotic kwa picha. 🙏
Tangu lini hili jumba la kiofisi la Moshi likawa mall? If it's a mall, what's its anchor tenant and what's its retail space? Acheni utani?A mall in Moshi town not even a city
View attachment 2967660View attachment 2967662View attachment 2967663View attachment 2967664
View attachment 2967666
Kwamba ndege ilishambuliwa? 🤣🤣Hata kama ni wavamizi haikubaliki this is not joke CDF ni mtu mkubwa kuvamiwa hadi kufa inamaanisha nchi usalama hauleweki inatoa taswira mbaya kwa nchi, it weaken army strength.
Unless uwe hujui maana ya commercial complex 😂😂😂😂😂 hata uchumi supermarket kabla haijaingia kaburini ilikua hapoTangu lini hili jumba la kiofisi la Moshi likawa mall? If it's a mall, what's its anchor tenant and what's its retail space? Acheni utani?
Duh kumbe ni ruhusa kwa viongozi wenu wa jeshi kutoa maoni yao ya kisiasa publicly? Halafu kivipi CDF aoneshe affiliations zake za upande pinzani na commander in chief na bado aendelee kuserve muda wote huo?Huyo Ogola hakukubaliana na matokeo ya Urais ya 2022 na pamoja na vigogo vingine walijaribu kuyapindua. Hicho kitendo kilimkera sana Ruto na alikiongelea kwa uchungu sana.
Ni wapi Tanganyika mnatumia water pressure kuondoa vumbi barabarani?Huko Kenya hamuwezi tumia water pressure kuondoa vumbi mjini, maana vumbi linakata sana mzuka wa kuinjoy nature from picture.
Bongo Kigoma inaongoza hadi tabu, nchi nyingi za Africa vumbi linaharibi picha hatari.
Mwenzako alisema ni Assassination au husomi comments. Okay tuseme hamna uvamizi au assassination.Kwamba ndege ilishambuliwa? 🤣🤣
Mibongolalala si mpo desperate lakini!!
Where did you read this if I may ask?
Poleni mzee. Hope Amani itatawala huko.Huyo Ogola hakukubaliana na matokeo ya Urais ya 2022 na pamoja na vigogo vingine walijaribu kuyapindua. Hicho kitendo kilimkera sana Ruto na alikiongelea kwa uchungu sana.
Sema hujui maana ya neno mall? Matusi hayatondoa ujinga wako.Unless uwe hujui maana ya commercial complex 😂😂😂😂😂 hata uchumi supermarket kabla haijaingia kaburini ilikua hapo