Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia kukwambia tafuta stadium ufananishe Azam Yani muko nyuma 30 yrs on this πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://twitter.com/TeyaKevin/status/1680846546768723972?t=QOw86-xqlVzSP-y-fOxLiw&s=19
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Labda nikuulize swali Taifa gas IPO sokoni au haipo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jibu alaf ntakwambia
Hakuna ushuzi Kama taifa gas wala kiwanda wacha kupiga punyeto mchana🀣🀣🀣🀣
 
Halafu utaskia JKIA ime-win category ya Best Airport in Africa! The awards r usually a shame!
Of course, JKIA is way better than JNIA. Niliwaambia tofauti yetu na nyinyi ni expectations. Hiyo JNIA ingekuwa Kenya tungekuwa tumeicriticize mitandaoni hadi ikae slum, hapo kwenu kazi ni kuimba SISIEMU Hoyee! Yeyote akicriticize serikali atatiwa pingu ama risasi. Ndio maana mko humu mnacheka JKIA wakati ni bora kuliko JNIA.
 
Wee kima hivi umesoma hadi darasa gani? Dunia nzima ina 3800 billioaires alafu Tz iwe na 5700? Labda kama ni billionaire wa hizo shillingi zenu madafu.
Huyo jamaa ni Primary School dropout usisumbuane naye.
 
Umepotea google kwa muda mrefu, Hii ndio 200m investment🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…