Mitaa ziko nyingi bongolala, Tena nakupa aerial views, sio picha za chini that capture one or two buildings jinsi unavyofanya kisha unakuja kupiga nazo kelele hapaHiyo ni picha ya kamtaa kamoja tu ambako mimi nilikuepo hapo juzi kati. But there are so many buildings under way in DAR. There are 20 high rise buildings in Kawe alone. Ngoja nimalize kuangalia hii site handover ya Chuga stadia nitakurudia.
Kale kanyang'au ka daily dose kametokomea wapi?πUwanja wa Tanzania utaisha kabla ya uwanja wa Kenya, mkenya anayebisha apite mbele
Hiyo Nyumba yenye madirisha 4 imeisha au ?
Haya weka na gharama walizopata kwa kushirikiπ
Hili shamba la mihogo au π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 2955407View attachment 2955406View attachment 2955407
Mchina ka sign Uwanja halafu kakimbia....
Chuga hiyooooo....
Sasa ukome kulinganishi upuzi wa CAFCL na WRCgoli halali linakataliwa kweupeπ€£π€£ππ au kwa vile mamelody ni team ya boss wa CAF
Jana nimecheka Sana AFRICA bado Sana
View attachment 2955248
Ulitaka uwanja ujengwe juu ya nyumba au ? πππ, ukikosa la kusema ni bora ukae kimya Arusha boi a.k.a zee ku ku fake kula bata Arusha. πππHili shamba la mihogo au π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kisumu ipi?? π π π π πWhere are those buildings? Kisumu alone iko na more buildings under construction than entire Tanzania.
Mumeshuka kutoka 101 mpaka 107 na bado munashangilia π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Footballing nation ni number 119 while non footballing nation is number 107.
View attachment 2955493
WRC ipi unaongelea π π π π πSasa ukome kulinganishi upuzi wa CAFCL na WRC
Last month tulikuwa 111. Hiyo 101 unaongelea ni before tupigwe ban na FIFA.Mumeshuka kutoka 101 mpaka 107 na bado munashangilia π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ban ya FIFA mliipata lini.?Last month tulikuwa 111. Hiyo 101 unaongelea ni before tupigwe ban na FIFA.
Ni ile affordable housing ya Makasembo ama?
That cluster around GTC will be something elseShangri-La Residency Westlands also coming up in Westlands.
It will be 25 floors
View attachment 2955512
Kwani hawakupata ardhi somewhere near Arusha town? Hapo ni mashambani jamani. Even the type of houses in the first pic tells it all.Ulitaka uwanja ujengwe juu ya nyumba au ? πππ, ukikosa la kusema ni bora ukae kimya Arusha boi a.k.a zee ku ku fake kula bata Arusha. πππ