Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tulishawaambia Afcon 2027 wataionea kwa Bomba wakabisha!
Geuza uloooleee! 🤣 🤣 🤣

Ila wabongo mnakuwanga na chuki kiukweli. Yani sisi Wakenya huwa tunabanter tu ila nyinyi mmejaa chuki na roho mbaya dhidi yetu sana. Lakini Mungu naye ni nani.🤣🤣🤣
 
Kenya will always be Kenya… in 2024 we registered 177 aircraft … Guess who doesn’t exist on the list?… 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2946265
Ndege zenu ni 3.
Pamoja na hilo, ndege mnazooperate zimezeeka sana. Average aircraft age yenu ndo kubwa kuliko zote hapo, maana yake nyie ndo mna ndege za kizaman sana na zilizochoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…