Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, acha kujifanya mjuaji but you know nothing. Forex exhange sio kama kuuza karanga za diamond.

Currency pairs change according to market forces. It's not static (am sure you don't even know what that means).

I can dare you to do the same screenshot tomorrow morning uone kama itabaki the same. It will have either moved down or up by a few digits.

The point is, the KSH has gained tremendously in the last one month or so. Just a few months ago, madafu yenu ilikuwa inauzwa Tsh15 dhidi ya KSH.
 
Nitakutag usijal shukuru mikopo ya zakayo kutoka IMF na world bank over 250b ksh na bado uchumi unasuasua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wa B hara T πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡πŸ‘‡ Hii ndio hali ya kila siku.
Kama mamtoni mwanangu ❀️❀️😘


Tatizo lenu nyinyi wakenya ni exposure, you lack exposure, na hii ni kwasababu tu hakuna vitu kama hivi huko kwenu. Ngoja nikuambie kitu kwenye BRT ni ruhusa kusimama mana hukai sana barabarani unakuwa ushafika, haya mambo kwako ni mageni, pole sana kwa kuzaliwa Kenya 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nitakutag usijal shukuru mikopo ya zakayo kutoka IMF na world bank over 250b ksh na bado uchumi unasuasua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mikopo? Nyinyi mmechukua mikopo mara ngapi?

Alafu hiyo inahusikaje na KSH kuwa bullish?
 
Your B hara T haziko on time, mara dereva anapitisha abiria. Don't compare your chaos to developed countries.


View: https://x.com/JamiiForums/status/1770154425321238583?s=20
 
B hara T with pathetic services. Kila mtu analia tu bad services. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…