Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninaigia hapa ni Muda wa vyura wa kenya kukimbia uzi huu sasa. Nilikuwa njiani natoka Jobo.
Sasa hivi tunaanza issue ya jeshi. Hospitals wamekimbia 😁 😁 😁 😁 😆😆😆😆
Wewe ndio ulikimbia baada ya kuona county referral hospitals za Kenya zinafanya brain and spinal surgery. Hospitali zenu za mkoa zinafanya brain or spinal surgery?
 
Wewe ndio ulikimbia baada ya kuona county referral hospitals za Kenya zinafanya brain and spinal surgery. Hospitali zenu za mkoa zinafanya brain or spinal surgery?
You have only 14 level 5 hospitals mzee. I told you to post a list of level 5 hospitals several time lakini unaanzisha mada nyingine 🤣🤣🤣
Ukimaliza ku compile hiyo list just weka hapa watu wacheke 🤣🤣🤣
 
My favorites are the second from top ( Administration Police Special Forces Group), sixth and seventh from the top…. Kenya Navy CDU commandos ( Clearance Diving Unit) and The GSU Recce company special team
 
Wacha maneno weka weapon hapa tukunyooshe kuanzia kwenye social media.
KDF = Kenya Drinking Force 🤣🤣🤣
 
This photo should be included in the manual of how not to become a great soldier 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…