Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We unakuaga ni falaa.
Ile photo nimeitoa katika chanzo kimoja cha habari.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-23-15-34-56-25_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    317.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_2024-02-23-15-34-47-94_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    185.8 KB · Views: 22
Show me statistics that say the poverty rates in America is caused by American Nationals. And also don't forget to mention the 800 million Chinese living in poverty in rural China.
Unaona ulivyo huna akili timamu?
Kwahiyo kila masikini USA ni Chinese and African migrant???
We ni upupu.
Halafu pia China ina popultaion of 1.4 billion citizens imeweza ku uplift 770 milion citizens out of poverty piga mahesabu waliobakia behind poverty line wangapi.
TAKWIMU YA WB HIYO HAPO.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-02-23-15-41-42-36_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    372 KB · Views: 16
  • Screenshot_2024-02-23-15-41-28-14_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    188.9 KB · Views: 16
We unakua hunaga akili.
Isome hiyo article nilokutelea vizuri.
HOMELESS WAMEONGEZEKA USA BAADA YA GHARAMA ZA MAISHA KUPANDA.
UNAPIMAJE GHARAMA ZA MAISHA KWA ASYLUM SEEKERS AMBAO HAWAJAWA RAIA RASMI WA NCHI??
Shuleni ulienda somea nini we jamaa???
Usije hata niambia sensa inafanyika hadi kwa wasio raia wa nchi hadi kwa wakimbizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…