Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kila mtu hapa jf anajua dar is SLUM. ndo maaba mkuulizwa mlete aerial photos za dar mnatapatapa. kama unazo aerial photos za wakazi wa dar tafadhali lete hapa tuone. hizo za street view tushazichoka.
Wewe umeleta ya Kibera?
 
kha hiyo ndiyo modern town? Kwikwikwi Town gani hiyo yenye nyumba moja tu?
Haha I have sent many including hotels,etc check this simba gate mall only 7000sqmtrs retail
Green square mall
Ona hii green square parking
Guru Nanak kericho


Golf club kericho
 
Haha I have sent many including hotels,etc check this simba gate mall only 7000sqmtrs retail
Green square mall
Ona hii green square parking
Guru Nanak kericho


Golf club kericho
Weka skyline ya kericho siyo kutulitea picha moja moja hapa. Huoni sisi tunakupatia full picture?
 
mufindi district, iringa region:
regardless of it's beautiful weather and health soil for cultivation of commercial crops like timber and tea,no white settlers are there,they left this beautiful country many years ago during independence struggle.

all timber forest and tea plantation are owned by tanzanians.
 
Lakini cha kushangaza dunia haijui ila inaitambua kibera world wide😀😀😀😀
View attachment 638240

Hizi ni dalili za mtu asiyekuwa na hoja. Kila unapobanwa kwa corner unatajaja Kibera. Nimekuuliza kwa ustaarabu kwamba ulete aerial photos za Dar kule anapoishi mwana dar wa kawaida. Nyingi tu za Nairobi zishaletwa huku kila mtu ameona. kama hauna hoja heri unyamaze uwe mtazamaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…