President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,623
- 94,223
Lami kila kona ๐๐๐ vumbi mtindo mmoja Halaf katikati ya kunakaa ushagoo .. moshi, Iringa and Morogoro ni better than hiyo takataka enye mnaita CityIzo ni congested slum.
Ona vile eldoret imepangwa ikapangika ,lami kila kona
Aibu ndogo ndogo hakuna.
Wewe hawker unasema nini hapa?Lami kila kona ๐๐๐ vumbi mtindo mmoja Halaf katikati ya kunakaa ushagoo .. moshi, Iringa and Morogoro ni better than hiyo takataka enye mnaita City
Watu wa jeneleta. ๐ ๐ ๐Watu wa Giza wakae pembeni.
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1755989906864714028?s=19
Lami kila kona ๐๐๐ vumbi mtindo mmoja Halaf katikati ya kunakaa ushagoo .. moshi, Iringa and Morogoro ni better than hiyo takataka enye mnaita City
Can't you see Iringa is more developed than iyo takataka ya kuitwa eldoret.? ๐๐๐โ๏ธ
Usianze kunichukia sasa, ni maisha tu ๐๐๐๐ ila kwa vile vimshahara vyako budaa me naweza kukulipa, in short naweza kukufuga wewe na kukulipa kale ka mshahara Kako. Pole kama uliumia sana.Wewe hawker unasema nini hapa?
Mshahara gani unaongelea? I posted my two months bank statement hapa wenzako wakatoroka. Wengine wakaanza kunitusi๐๐๐.Usianze kunichukia sasa, ni maisha tu ๐๐๐๐ ila kwa vile vimshahara vyako budaa me naweza kukulipa, in short naweza kukufuga wewe na kukulipa kale ka mshahara Kako. Pole kama uliumia sana.
Talking about AI while their whole country is in darknessHuyo tangu ajue Kuna kitu kinaitwa AI hata ukipost picha nyumba atakwambia tuko Karne ya AI.
Si useme tu 14M Tanzanian shillings mara Moja. Hakuna atakayekuchapa๐๐๐๐So laki laki nane ndo inakufanya uite watu Masikini humu?
Ghorofa kumi with overcrowded and unplanned mabatis ndio unaita development. Yani huko bongolala towns zenu kama zote ziko unplanned.Can't you see Iringa is more developed than iyo takataka ya kuitwa eldoret.? ๐๐๐โ๏ธ
Hiyo ni pesa ya kumtishia mtu?Si useme tu 14M Tanzanian shillings mara Moja. Hakuna atakayekuchapa๐๐๐๐
(Ksh 889,282 ร16 Tsh)รท Ksh= 14.28M Tanzanian shillings.
Unashindwa kupost picha ya statement kama hivi!Kwani ulitaka Kuona ni nani ananipea pesa na pia ni nani namtumia pesa?๐คฃ๐คฃ๐๐.
99% of Tanzanians here doesn't have that money. Most of these Tanzanians are poor.Hiyo ni pesa ya kumtishia mtu?
Umejua wewe ni mjinga kweli kweli ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ. What I posted had everything you are asking for, credit amount, Debit Amount and Balances.Unashindwa kupost picha ya statement kama hivi!
Post bank statement yako ya mwaka mzima inayoosha transaction zote ulizofanya.
Yaani debited and credited, ooh nilisahau hujui maana ya credited and debited.
View attachment 2899892
Mzee unamiliki million 14 Tz money unawatishia watu humu.? ๐๐๐ Hiyo ni pesa kidogo sana99% of Tanzanians here doesn't have that money. Most of these Tanzanians are poor.
Alafu hile nguvu ulikuwa unaitisha nayo bank statement yangu imepotea wapi tena? Unaongea kwa unyonge sana.