Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kunywa hio haituhusu ila kutuambia una miliki 5 acres kwenye mashamba ya settlers kericho ni sawa na kuvuliwa nguo sokoni asbh saa nneπŸ˜€πŸ˜€
Kericho ni county na ina wakaaji 1 million....100000 wanaishi mjini na 70000 wako kwa farms...the rest wana mashamba yao ni wakulima wa chai na maziwa ndio hio ngombe na chai on the background
 
Kericho unataka ipambane na Moshi?
 
Kenya is the leading milk producer in Africa...uasin gishu(eldoret),Nakuru,Nyeri,Muranga,Nyandarua,bomet,kericho,nandi are some of highest producers of milk
Unaongea sana bila hata vitendo. everyday leading leading. Huo ni utoto.
 
We kunywa hio haituhusu ila kutuambia una miliki 5 acres kwenye mashamba ya settlers kericho ni sawa na kuvuliwa nguo sokoni asbh saa nneπŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Annael, kisii town pictures ndo haya yaja
 
Attachments

  • 5962.jpg
    34.4 KB · Views: 82
Kericho ni county na ina wakaaji 1 million....100000 wanaishi mjini na 70000 wako kwa farms...the rest wana mashamba yao ni wakulima wa chai na maziwa ndio hio ngombe na chai on the background
Usinidanganye mm kua unamiliki 5 acres kwenye mashamba ya settlers kericho πŸ˜€πŸ˜€
 
Nakupea facts ukitaka link itisha si picha za lake then unasema kigoma give me a modern town like this
You can see tea and a beautiful highway
kha hiyo ndiyo modern town? Kwikwikwi Town gani hiyo yenye nyumba moja tu?
 
Ila sio aibu kwa slums za nairobiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

kila mtu hapa jf anajua dar is SLUM. ndo maaba mkuulizwa mlete aerial photos za dar mnatapatapa. kama unazo aerial photos za wakazi wa dar tafadhali lete hapa tuone. hizo za street view tushazichoka.
 
Lakini cha kushangaza dunia haijui ila inaitambua kibera world wideπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…