Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Algeria has an unemployment of about 49%......the question is if a country like Tanzania boasts of u
employment why are they amongst the lowest per capita in the world ?Omba omba wale watanzania pia mnawahesabu kwa data zenu....mmhh....
 
Unapotaka kutetea GDP yenu unatumia data, ila kuficha umasikini wenu hutaki data unatembea mwenyewe kwa miguu na kuvuka mpaka[emoji1]
 
Unaeza kusoma na usielimike,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
90% of Dar is covered in slum like structures.......it's like beyond repair
 
Algeria has an unemployment of about 49%......the question is if a country like Tanzania boasts of u
employment why are they amongst the lowest per capita in the world ?Omba omba wale watanzania pia mnawahesabu kwa data zenu....mmhh....
Official link plz about algeriaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
but you should answer why you guys have the lowest levels of income per capita yet you claim that only 22% of your population is living below the dollar mark............mnaringa mnamiliki Tanzania lakini waarabu ndiyo wamemiliki kampuni zote Tanzania....
 
That is Kenyan school of Economics, that's why Kenya is doing bad economically, Why Ethiopia, KLM, Emirates, Qatar, Swiss and many other airlines which are doing well have their own planes not leasing?, why you despite of leasing many if not all your craft still KQ is collapsing?,
 
Wafanya biashara baada ya serekali kuzuia chakula kwenda nje wakawa wanaficha chakula kumbe hawakujua serekali inaakiba ya kulisha nchi 10 yrs ndugu baada ya hvo wakaamua kuachia chakuala na kuuza na ndio maana umeona inflation imeshuka mpaka 5.2 na inazidi kushuka kila siku kwasababu chakula ni kingi sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakitoa ripoti ya ukweli Magufuli atawafinya nyeti....Hahaha.Ile nchi ya ajabu ati poverty ya 28% hahaha...........wananchi wa huko bora nyumba ya udongo na kipande cha kulimia maisha amemaliza
 
Mbona nimekuuliza maswali ya msingi sana, badala ya kujibu na kuyafikiria hayo maswali kwa kina, bado unaendelea kuwa mkaidi, jibu kwanza hayo maswali, baadae uniulize na mimi nikujibu
 
First you have to get your facts right then we can talk like intellectuals. The fact that: you have no idea that there is Free primary education in Kenya, and "subsidised" fee of ksh 7,000 per year in every secondary school in Kenya, plus starting Next year secondary education will be absolutely free... Puts me in a position not yo answer your questions.
 
Bro, this so technical, you don't have to be a genius to understand... It doesn't change, it's like saying 1+1=2...
Namm nakujibu unaeza kua na degree na usielimike na siku zote numbers dont lieπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Usifkiri debt to GDP ratio 60% itageuka kua 6% never
 
Wakitoa ripoti ya ukweli Magufuli atawafinya nyeti....Hahaha.Ile nchi ya ajabu ati poverty ya 28% hahaha...........wananchi wa huko bora nyumba ya udongo na kipande cha kulimia maisha amemaliza
Niletee official link about unenplyment rate of algeria nasubiria broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakitoa ripoti ya ukweli Magufuli atawafinya nyeti....Hahaha.Ile nchi ya ajabu ati poverty ya 28% hahaha...........wananchi wa huko bora nyumba ya udongo na kipande cha kulimia maisha amemaliza
Wqnanchi wanafichwa facts.. Wanavaa ngozi ya kondoo... Ilhali shida tupu. Huo ni unyama. Uzuri wanahabari wa Reuters wanafanya research yao
 
Bado swali langu linabaki palepale, wakati ninyi mnatoa subsides kwa secondary school, huku Tanzania elimu yote ni bure toka primary hadi secondary, na karibu wanafunzi wote wa University wanapata Government loan, kwanini Tanzania yenye uchumi mdogo inaweza ila Kenya haiwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…