Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na mbona rangi ya nyumba bado inatawala kwenye SGR yenu? Itakuwa ni "Wazungu" hufanya hiyo maneno!
Cheap talk, you cannot make up a random baseless claim and truly believe it. That’s blatant ignorance
 
Alafu hayajifunzi, kila yakileta hii battle yanapigwa heads down
 
Bado kufukuza vibarua
This will not change the fact that uf a Tanzanian want to travel to USA, they will have to travel to jkia then connect with KQ direct to JFK
Ushawahi kupanda ndege? Emirates,Qatar,Ethiopian,Turkish,KLM hizi hazifiki USA? Au ulidanganywa zinaanzia JKIA tu kwasababu huwa unaziona hapo?
 
Mwisho tarehe 22 jan kukanyaga TZ hiyo miscraper yenu
 

Hili jambo inatakiwa limalizwe na wataalam husika kutoka katika taasisi za usimamizi wa mambo ya Anga. Kusiwepo room ya wanasiasa kuingilia mchakato huo.

Mpaka wote watakapo fikia muafaka bhas hao wanasiasa ndio waingie Ku harmonize makubaliano na ushirikiano wa nchi mbili hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…