Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you still one of the poorest nations on the planet?… answer that first
 
Nadhani huwa kuna Tanzania nyingine ambayo hatuijui ndo wanaizungumzia humu.
Hivi hawa wanaharakati wanaoikosoa serikali daily ni wa wapi! 😂😂😂
Vibera wanaiogopa Tanzania mnoo.
Hivi wanaijua Rwanda kweli.
Na hii Jamiforums ipo nchi gani!
 
You can angle your photos all day and it won’t change the facts it’s another Mabati rolling building..🤣🤣
View attachment 2829704
Unahangaika kupost picha ya kitu hata akionekani eti ili upate faraja 🤣🤣🤣. Maumivu yapo pale pale mzee 👇the one and only world class airport in the region.
 
Yaani, hii treni pamoja na kwamba ni lazima ugly haifikii 140km/h na haina behewa hata moja!? Za Kenya huenda 120 za mizigo zikaenda 80 pamoja na mzigo.

Hii yenu naona ikiendaga 100
Cha pili mbona kurukaruka. Ni reli haziko sawa!?
We umeona hapo mzigo unasoma 137 km)HR na spidi ilikua inapanda wivu wa nini mzee si utupongeze tuu kwa kueshimisha afrika mashariki
 
#prove ur point#
Really errand boy?…So now you care about verbs and nouns… you can rectify my Swahili … but kizungu forget about it… I notice some of you here proof read everything Kenyans post just to massage your inferiority complex…. Bongolalas never cease to amaze… now proof read that!..🤣🤣🤣
 
I can also see three blue towers 🤣🤣🤣🤣. Utakufa kwa wivu kima wewe
One thing that differentiates you from us , hatuna wivu kama nyinyi… your hate for Kenya is based on jealousy… you envy our top position in the region and you wanna occupy it… haiwezekani kamwe… on the contrary, we just make fun of your clown 🤡 aspirations…your national motto should be..we fake it till we make it…🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…