Tawakal and Tahmeed are not Tanzanian companies. Dar lux stopped coming to Kenya 5yrs ago, let me check about this Smart. Have never heard of it.
By the way mbona lazimisha Tahmeed and Tawakal to be Tanzanian companies? Or because their bodies beautiful since they are built in Kenya?
Sitaki mazoea, twende ground now, weka kampuni moja moja na usijaribu kuharibu battle, naomba tuweke fleet na sio ka bus kamoja kamoja, Abood bus fleet.Instead of making noise here ungeshapost bus😂
Boss kama huna hoja acha kutapatapa! Na kuamisha magoli!Kuna swali nimekuuliza about VIP bado hujajibu. I'm still wailing
niko hapa utasikia ena na sijui nani haahaa kwishaa ukimuona tena niiteTeargas naomba uchangamke usinipotezee muda tafadhali.
Unapagawa mpk unaandika upuuzi, wailing ndio nini, changamka tafadhali nna mechi ya CAF CL uarabuni huko sina muda wa kupoteza, nshaweka fleet ya kwanza, yani mm siweki bus moja nakuahidi 🤣🤣🤣🤣Kuna swali nimekuuliza about VIP bado hujajibu. I'm still wailing
Because Tz is still primitive in the transport industry. Those Hiace are in most developed places one of the places in Africa is Egypt, South Africa, Kenya, Morocco etc.
View attachment 2823369
Mpaka sasa ubao unasoma Tz 10-Kenya 0 namruhusu aweke Tahmeed 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niko hapa utasikia ena na sijui nani haahaa kwishaa ukimuona tena niite
Hata mm nilishapost kitambo, tuanze upya now, hakuna mtu kuingiliaNishapost picha, sijui mbona bado unahara.
Ni baada ya Mama kuwalipia Madeni,si unajua wanakodi ndege kutoka wakala wa ndege?Kila siku tulikuwa tunasema humu tunapozungumzia marais waliopita Tanzania JPM anapaswa kuwekwa katika chumba chake peke yake, alikuwa na maono mapana sana ya mbele mno, JPM was the real deal Tanzania has ever witnessed, na wallahi nawaambia hakuna mradi hata mmoja alioanzisha JPM utaleta hasara.
Cc warogi wote Teargass ChoiceVariable Nicxie NairobiWalker
Kiko wapi 🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥
View attachment 2823585
Fleet gani umeweka. Sema unataka kuenda kuchunga ngombe, sio ati uko na mechi. Mechi gani?😂😂Unapagawa mpk unaandika upuuzi, wailing ndio nini, changamka tafadhali nna mechi ya CAF CL uarabuni huko sina muda wa kupoteza, nshaweka fleet ya kwanza, yani mm siweki bus moja nakuahidi 🤣🤣🤣🤣
Chooo? Ndani ya gari? Ndio inakubamba?🤣🤣🤣😂🤣 So coffee ndio inafanya ikuwe VIP?😂😂😂Teargas nitajie japo kampuni moja ina offer coffee au snacks sio soda na maji maana almost makampuni yote ya usafiri bongo wana huduma za hivo hii hapa shabiby line View attachment 2823610View attachment 2823611View attachment 2823612View attachment 2823613View attachment 2823614
New Machines waiting for delivery. Buy Kenya Built Kenya.
View attachment 2823409
Finya huyo nyang’au (kwa sauti ya Chepsongol)😁😁Kiingereza chenyewe sasa 🤣🤣🤣
Acha bla blah tell me what makes a bus luxury an a vip?Chooo? Ndani ya gari? Ndio inakubamba?🤣🤣🤣😂🤣 So coffee ndio inafanya ikuwe VIP?😂😂😂