Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni wapi nimetaja uchumi kwenye hiyo post yangu? Hapo ndio hasira zimekufikisha?

Wewe maendeleo ya Kenya inakukera mbona? Hata tukiamua kujenga interchange ndani ya Masai Mara isikusumbue. Siku Arusha na Mwanza zitajenga interchanges njoo kwenye meza ya mazungumzo. Kwa sasa, endelea kukereka na kutoa povu
 
Kenya is developing independent Mini grids to make sure that areas like Islands that can not be connected to the National grid get power. This is under Last Mile Connectivity program aimed to achieve 100% power access in the country
 
There is a way Kenyans for things. A little bit differently.




Tanzania Mjerumani ameimbiwa nyimbo mbili tatu za Kinyamwezi, haya, tosha. Maana, hawajui Kijerumani wala Kiingereza.
 
Your fellow 'capitalist' treats you like a bag of douche, you should thank them they gave you something to brag for 🤣🤣🤣🤣 yaani kama wamewajua mnajivunia English zaidi ya ugali 😂😂😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…