Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

majengo kama Pinnacl na Montave huwezi ukaziona nchi zote...utaziona tu Kenya.
embu tuwekee hapa hiyo pinnacle ya kenya tuione...pls usituletee render image...tunataka real building... ukishindwa tuletee hata construction workers wakiwa site.[emoji23] [emoji23]
 
Hii project hatuwezi kuongelea maana bado hata haijaanza. So leta project zinazooendelea. Hii project tumeitoa is just white elephant.
 
we real love renders you know...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tumechoka na hizo render images za pinnacle.... sasa tutaka picha za site tuone watu wakipiga kazi ya ujenzi....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii project hatuwezi kuongelea maana bado hata haijaanza. So leta project zinazooendelea. Hii project tumeitoa is just white elephant.
project yenyewe tayari kuchimba foundation umekamilika..picha zipo kote...nadhani ni ww uliyniambia nitumie Google..nawe tumia sasa....ila haina noma...nitakultea Montave basi...
 
PPF HQ 35F- Sinza Dar es salaam








Hili jengo linamalizika 2018.
Nataka ujibu kama ninavyojibu. Sinza vs Nairobi by 2025.
 
Hii project hatuwezi kuongelea maana bado hata haijaanza. So leta project zinazooendelea. Hii project tumeitoa is just white elephant.
utafanya jamaa aingiwe na hasira mwisho aanze kutusi watz..[emoji23] [emoji23]
 
project yenyewe tayari kuchimba foundation umekamilika..picha zipo kote...nadhani ni ww uliyniambia nitumie Google..nawe tumia sasa....ila haina noma...nitakultea Montave basi...
Wewe weka hapa tuone hata kama jengo limefika mita 1. Je, wameanza kuchimba mwaka gani?
 
naona mmelia lia sana kuhusu Pinnacle...sawa...wacha niwalte zingine basi...
2. Montave
 
just came across this pic...had to post it...largest mall in africa ukitoa SA
Kha weka project kubwa kubwa jombaa mbona umeanza kuweweseka sasa. Leta guangzhou standard. Bado hujanijibu hapo 35F. Just 2018 nijibu kwanza kisha tuendelee.
 
Wewe weka hapa tuone hata kama jengo limefika mita 1. Je, wameanza kuchimba mwaka gani?
wacha ushamba ndugu...majengo yote duniani lazima wachimbe foundation..hata kibanda cha kuuzia mboga wanachimbia foundation...vipi wewe? 😀😀😀
 
Kha weka project kubwa kubwa jombaa mbona umeanza kuweweseka sasa. Leta guangzhou standard. Bado hujanijibu hapo 35F. Just 2018 nijibu kwanza kisha tuendelee.
tulia ndugu..hii ilikua off-topic...usilie lie hapa...kisha pngine nikukosoe, hio ni project Guangzhou style...sio project ndogo sababu hakuna lingine kama hilo Africa nzima ispokuwa SA tu...
 
wacha ushamba ndugu...majengo yote duniani lazima wachimbe foundation..hata kibanda cha kuuzia mboga wanachimbia foundation...vipi wewe? 😀😀😀
Nimekuuliza msingi wa hiyo nyumba wameanza kuchimba lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…