Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iyo ni fact ata uende kwa mganga GDP yenu ni nusu ya kenya
sinimesema muda sio mudaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ GDP halisi ya kenya 2017 ni 55b na GDP ya 2017 tanzania ni 51.3b ukubali ukataeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Haha ata unaeza weka ya Kenya ikue 30 then ufurahie...na ututumie link hehe
 
sinimesema muda sio mudaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ GDP halisi ya kenya 2017 ni 55b na GDP ya 2017 tanzania ni 51.3b ukubali ukataeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Yani after kupunguza ya Kenya bado Kenya iko mbele na population kidogo...hahahhahhahahahhahahahaha
 
sio mm nimepunguza ndio uhalisia na hio link ukitaka nakuletea tu na hio 70 ni expectations na sio real oneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ 55 ndio halisi na tanzania 51.3 ndio halisi sasa tuone kama 2020 mtatoboa kwa tanzaniaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
There you go again, saying,"being bitchy is being annoying" is a tautology.

I was calling you on your bullshit pretending to know the language you are not competent enough.
nimekuwa nikisema kila siku hapa kuwa elimu ya kenya haijasaidia kuwatoa raia wake katika ujinga.unaweza kuligundua hilo hata hapa jamvini vile wanavyo pangilia argument zao.

wengi wamejificha katika kichaka cha kujua kuzungumza kingereza lakini kichwani hamna kitu.

kujua kuzungumza kingereza na kuwa mweredi katika eneo fulani la kitaaluma ni vitu viwili vyenye tofauti kubwa sana.
 
sinimesema muda sio mudaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ GDP halisi ya kenya 2017 ni 55b na GDP ya 2017 tanzania ni 51.3b ukubali ukataeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Ndio ni 55bn, it's good you acknowledged the fact that Kenya has a higher GDP hata na hio guesswork yako.
Hata hivo, $4 bn ni pesa nyingi that is about Tzsh100,000,000 000,000 {100 trillion}
 
$4bn =tsh 100trillion we jamaa ulifaa usimalize elimu ya msingi hesabu hujui kabisa!!
umetumia vigezo gani kukokotoa Ilo jawabu Au unapachika tu namba

not , 55 - 51.3= 3.7b mm nakwambia mpaka 2020 hamutoboi kwa tanzaniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
3.7b ni sawa na 7 trillion πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…