Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni michezo ya kipumbavu hatujaweka nguvu zetu huko, sisi tumeweka nguvu zetu kwenye soka mchezo maarufu zaidi duniani na wenye pesa, sio hiyo michezo ya kifukara.View attachment 2775962View attachment 2775963
Excuses after excuses yet you are not even good in Soccer….. that FIFA ban really affected our game otherwise we would have outshined you as usual in every soccer sphere ukanda huu …😁😁
 
400m bado ni nyingi, alafu hayo mambo ya mambio mbio huku Tanzania hatuyapi kipaumbele, kwa kifupi wengi wetu hatupendi huo mchezo, 99% ya watanzania tunapenda soka, si watoto, wazee wala vijana, tunapenda soka, hiyo michezo mingine ya kipuuzi puuzi hatunaga time nayo, sio maarufu kwetu na wala hatufuatilii.
 
Excuses after excuses yet you are not even good in Soccer….. that FIFA ban really affected our game otherwise we would have outshined you as usual in every soccer sphere ukanda huu …😁😁
View attachment 2776182
Linapokuja suala la soka bro sisi sio level yenu kwa sasa, tuna ligi bora na tajiri sio tu ukanda huu bali ni moja ya ligi tajiri Africa, baada ya AFCON kuisha hapo mwakani tutakuwa watu wengine kabisa kisoka.
 
Don’t call it kipuuzi just cause you are not good at it….. am sure you would speak differently if the shoe was on the other foot….. recently Mtanzania did well ( didn’t even win) in Berlin marathon and it was headlined in all your local media…… that should tell you something… it speaks volumes…
 
Not just in the media, hadi hapa kwa hii thread walijaza hiyo habari - yani hata sisi wenye tulishinda tulikuwa kimya ila wa tatu wanapiga kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…