Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa Sipendi Kubisha na mpumbavu
alie zaliwa kwa bahati mbaya na kuishi kwa makusudi

Nakuru Uchafu mtupu
Wadanganye wapuuzi si mie
Kenya Nimeishi na naijua sana
Yah!! Wayatoa wapi maneno wemtu!!
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] ila mkuu udongo wa kenya ni mbaya aise.yaani nyumba ya gharama inaonekana kama zizi la chanjo ya ng'ombe.

You kenyan huu udongo ni wa kilimo ya migomba,haufai kuweka vitu safi vitachafuka.
Ahahahahahaaaa ! , ugly & reddish soil makes those lavish palaces over there looks like all times spiteful Nairobis slummy cabins
 
niliishiwa au mpaka dakika hii hujielewi uko level ipi endeleeni kupika dataπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila mbongo huwez mdanganya hata siku moja
Kuzushana na kilema ni ngumu juu ana feel ako inferior... That applies to you...inaitagwa inferiority complex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…