Mombasa haitaishinda Dar katu ilo sahau labda tulale apa mjini miaka 20 fofofokama hujawahi enda Mombasa heri unyamaze tu......it has the largest port in East and central Africa.....and fyi it has a larger CBD than Nairobi......it has world class hotels.....a major international airport.....vibrant real estate...and many crucial industries
mmeishindia tu tower zile mmepachika kando ya bahari.....Mombasa haitaishinda Dar katu ilo sahau labda tulale apa mjini miaka 20 fofofo
jnia tuipatie Moi ya MombasaJkia ilikua na 7 m last Yr...this year tayari wako 7.4m jinyonge Sasa....JNIA 2m
Naruku = Njombe.The first fly over in dar...while Nakuru is almost completing the 7th
Eeh iyo airport ata top 20 Africa haikojnia tuipatie Moi ya Mombasa
Nimeona iko tz,then kina SGA security, KK security yani tumeoa tz kiplanNiC bank is Kenyan if I am not wrong
Wachana na Mombasa. Huo ni mji wa Mashoga.
Nic niya wakenya we come for your money and then employ the poorHehehe, akili za kuku hizi.
Uko na shoga mwenzako hukoWachana na Mombasa. Huo ni mji wa Mashoga.
Tuna nyumba zaidi ya nairobi zenye flr 30+ sasa kama towers zinawawasha san njoo uzing'oe ukaoteshe mombasammeishindia tu tower zile mmepachika kando ya bahari.....
Hehehe punguza hasira mm nafahamu 4.4 sasa 2017 sijui hata kama hio 2m itafika maana safari hii mumeshika mkia kwenye watalii πππππππππJkia ilikua na 7 m last Yr...this year tayari wako 7.4m jinyonge Sasa....JNIA 2m
Ukizungumza world class hotel zanzibar ndio baba yenuππππkama hujawahi enda Mombasa heri unyamaze tu......it has the largest port in East and central Africa.....and fyi it has a larger CBD than Nairobi......it has world class hotels.....a major international airport.....vibrant real estate...and many crucial industries
Tuna picha za kibera...hio tu ndio job unaeza mseHehehe punguza hasira mm nafahamu 4.4 sasa 2017 sijui hata kama hio 2m itafika maana safari hii mumeshika mkia kwenye watalii πππππππππ
Hapo ndio umemaliza πππmy best city in East Africa....Mombasa raha...
Watalii laki 7 mwaka 2017 mumeshika mkia tanzania imepokea watalii million 2 πππππ na kufkia 2025 tutapokea watalii million 8 jiandae kwa hiloTuna picha za kibera...hio tu ndio job unaeza mse
Mombasa ni pazur ndio lakini huwez weka league moja na Dar ....my best city in East Africa....Mombasa raha...
Watalii pekee ndio unadhani wanatumia JKIA msee ??Watalii laki 7 mwaka 2017 mumeshika mkia tanzania imepokea watalii million 2 πππππ na kufkia 2025 tutapokea watalii million 8 jiandae kwa hilo
Niliwaambia ukubwa wa dar yani urban city wakusanye nairobi,mombasa kisumu bado haitoshi kufkia ukubwa wa dar na hilo halina ubishi wala ushindanMombasa ni pazur ndio lakini huwez weka league moja na Dar ....
Dar iko mbali sana kimaendeleo huu mji wenu mdgo sana kwa Dar, battle sahihi ni nai mombasa ata kampala inaweza wazidi Kwa mbali tu
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app