Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ka mgahawa U/C kamekaa warehouse unaita hoteli!
Naona umeumia …. Kipipiri golf resort imekutesa….all ushago hotels I have shown you are for Kenyan revelers which is a sign of a vibrant middle class… nyinyi mnarespond na hoteli za wazungu travellers…. Mnajenga hoteli za Utalii wa Wazungu …. Am showing hotels za Kenya zimejengwa juu ya utalii wa ndani wa Wakenya…..that was the battle….. but you had no response…. Hamna middle class… facts!
 
Hiki ni campus ya udsm,zenj kipo kingine cha danaos ambacho nacho kinatambulika kimataifa maana ni tawi la danaos greece,ila hawa danaos hawajaanza kuchukua wanafunzi wa kutoka nje ya kampuni yao,wana meli za kontena zaidi ya 100 so kwa sasa wanatraini crewing wao tu wanaotokea Tanzania,na hiyo kampuni inachukua wafanyakazi kutoka TZ,greece na ukraine tu,kunyan walijaribu kujitumbukiza tumewatosa wakafie kisumu huko
 
But how ?
2027 is your election year , with chaos and maandamano and killing each other . Mnajua vile mko ma hooligans hasa kwenye Mambo ya chaguzi yanavyoshamiri hisia kali zenye mlengo wa kikabila.
 
If you argue about the new stadiums you claim mtajenga Dodoma na Arusha ,you may have a point as long as they are Football only pitches/ no running track… but i bet Dodoma itakuwa na track…😄..so count Out Mkapa Stadium Dar … will never host AFCON final…too embarrassing for CAF with that running track… that’s why we are building a brand new venue…. Talanta … enjoy one more time…..🤣🤣🤣🤣
 

Mngeanza kufanya usafi kwanza kwenye makazi maana huku kwenye level ya stadium kamwe hamuwezi kutufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…