Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Poor quality.🚮
 
Sasa wale wa kiswahili kibovu ambao hawajui kutofautisha kati ya "mgao" na ,"ratiba" watuambie huu ni mgao ama ratiba?
Wewe ni pumbavu. Six counties only is where there is maintenance; not even in the whole county, just villages. It is being shut down in those few places due to maintenance not rationing. Kenya iko na 47 counties and only a few villages in 6 counties are affected. Kwenu Bongolala taifa mzima iko kwenye giza mshenzi wewe
 
Kwamba hizi ni apartments?

Now, who is ignorant kati yangu na wewe?

When we mentioned apartments za Ruaka, this is what we meant

I expected you to show me something like that ila umekuja na povu
 
Jibu swali kenge wewe hii ni mgao ama ratiba?
 
🤣🤣We kilaza kwako gorofa tu ndio apartment.? 🤣🤣 Na Kwanini ujifanye hujaziona, dege Eco village na kijichi.. anyways according to this 👇.. hizi sio apartments.? 👇
 
South Korea is 10 times smaller than Bongolala and it has a population of 51 million people.
So, South Korea ina njaa kama Kenya?

South Korea ina magonjwa ya kila aina kama Kenya?

South Korea inashindwa kulipa mishahara watumishi wake kama Kenya?

South Korea inashindwa inategemea doners ku fund miradi yake kama Kenya?

South Korea ni third world country kama Kenya?

South Korea ni shit hole 🕳️ country kama Kenya?

South Korea ni failed state kama Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…