So the Tanzanian National Bureau of statistics are western people? And your eyes tell you 63% of Tanzanians have access to electricity? SMH. They say if you think education is expensive try ignorance
Over 65.3 urban and 16.9 rural na hio ni 2016
Hio 33.8% ni sasa hivi, Mnamo 2012 ilikua 18% kaka2016 urban was over 65.3 and rural was over 16.9
Soma vzr bro acha wenge na hio 32.8 was in 2011 hapo ndio utafahamu maendeleo yanavokua haraka tanzania
View attachment 630359
The same infotrak have written line putting the figure by KPLC at 63%.Ndio maana hua nawaambia jaribuni kua serious na hio ni 2017
43% Of Kenyans Have No Access To Electricity, Research Shows
Hapo ndipo mutajua nyie kwa kupika data munaongoza duniani na dunia ya leo utamdanganya nani???😀😀😀The same infotrak have written line putting the figure by KPLC at 63%.
Kplc wapata data zao toka kwa mita za wateja wao Wa stima, ilhali infotrak wapata data zao tokana na kuulizauliza watu hapa na pale. Wewe chagua utakayemwamini kati yao
Hzo calculation ni za wapi ndugu???? 😀😀😀Hio 33.8% ni sasa hivi, Mnamo 2012 ilikua 18% kaka
😀
Kisha ndio nakubali, 65.3% of urban Tanzanians have electricity while 16.9% of rural Tanzanians have electricity. Keep in mind urbanization rate of Tanzania is 32%. So total population with access to electricity is:-
0.32×65.3% + 0.68×16.9% = 32.39%
Ambayo ni sawia na their estimate of 33% of all Tanzanians
Hii hapa yaitwa strawman response. Kukwepa uhalisia na ukweli kwa kuanzashi vihadithi vya vijiweni.Hapo ndipo mutajua nyie kwa kupika data munaongoza duniani na dunia ya leo utamdanganya nani???😀😀😀
Kumbuka mm mbongo bro sijui utanidanganya nn😀😀Hii hapa yaitwa strawman response. Kukwepa uhalisia na ukweli kwa kuanzashi vihadithi vya vijiweni. :-\
Ndio nimeona muandishi kakuacha nyuma kweli na hisabati yangu ikakanganya zaidi. Reread this statement again and tell me umeielewajeHzo calculation ni za wapi ndugu???? 😀😀😀
Ikiwa muandishi amekupa figure ya 2011 it was 33% na amekupa figure ya 2016 ni over 65.3% hapo wewe unataka kupinga nini???? Try to be serious bro umepewa figure in percentage utaiekaje tena in percentage duhh
Nakuekea tena usome vzr
View attachment 630439
Najua wewe mbongo bro, ndio maana sijui utakubali yaliyo peupe lini😀😀Kumbuka mm mbongo bro sijui utanidanganya nn😀😀
just add the two .....divide by 200% to get the fraction and them multiply by 100% to get the average percentage
Naona learning capacity yako iko very minimum bro yani mwandishi anakuekea figure ya 2011 na 2016 into percentage wewe bado unaleta calculations haha aisee usiku mwemaNdio nimeona muandishi kakuacha nyuma kweli na hisabati yangu ikakanganya zaidi. Reread this statement again and tell me umeielewaje
"This is equivalent to 32.8 per cent of
all households of Mainland Tanzania
and is an increase from 18 per cent of
all households connected to electricity
in 2011/12."
Pumzika kaka ila tu usije sahau ukamdanganya mbongo utaumbukaNajua wewe mbongo bro, ndio maana sijui utakubali yaliyo peupe lini😀😀
The given number were in percentage utazieka vp kwenye percentage wakat zishaekwa kwenye percentage au zipo calculation za percentage square??😛😛😛😛just add the two .....divide by 200% to get the fraction and them multiply by 100% to get the average percentage