Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo tunakuanga nazo in every county


View: https://www.youtube.com/watch?v=UxHwzDt1_EQ
 
Tulijenga hizo kwa kila county miaka mitano iliyopita


View: https://youtu.be/Y_K4BOEnQDI
 
Magufuli who they glorify and magnify like a god as their best president died in Nairobi Hospital, a Kenyan private Hospital akiwa amekosa hospitali Danganyika yote๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hata ulie namna gani au ujifurahishe na kujifariji lakini flow ya remitansi ndio inayoongea ukweli kati ya nchi hizi mbili ipi ni USA na ipi ni MEXICO ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Magufuli who they glorify and magnify like a god as their best president died in Nairobi Hospital, a Kenyan private Hospital akiwa amekosa hospitali Danganyika yote๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hata Museveni na kina Kagame and other high ranking officials from Africa hukuja Kenya for treatment, that should tell them who are the big boys in East Africa
 
Hii hospitali ilijengwa na Magufuli, imechelewa sana kuzinduliwa.
Hiyo mimi sijui, kama ilikuwa haijakamalika? kwenye kibao inasomeka Samia Suluhu Hassan! Ile ya Chato ndo inasomeka John Pombe Magufuli! Kamfufue aje kuzindua hii maana naona kijiba kinakusumbua!
Kuna mradi Magufuli alimaliza kweli Toka Aanze kuanzisha miradi? ๐Ÿคช๐Ÿคช

Pesa aliyotoa SSH kuanzia kukamilisha majengo, miundombinu ya Barabara,vifaa tiba na Wataalamu ni kubwa kuliko aliyo inject Magufuli.

Hii hospital ikikamilika na kuanza.kutoa Huduma Toka mwaka Jana.

Very unfortunately Kwa Washabiki wa Magufuli jina limeandikwa Samia kwenye hivyo vibao na itakuwa hivyo Kwa miraos yote.

Jamani mkianzisha vitu malizeni ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

View: https://www.instagram.com/p/CxPrHY8NDiV/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Meanwhile, Kenya Airways has direct flights to over 50 destinations across Africa and the World. To how many destinations does Bongolala Air fly to? Last time I checked, Air Tanzania had less than 20 direct flights to International destinations, so sit this one out. Someone travelling from Tanzania to West Africa has to first book a flight to Nairobi before transiting with another flight to West Africa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ