The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,072
- 1,189
Kuna jamaa hapa alisema Wakenya wanaenda nchi za Uarabuni ju ya Ufukara kumbe nao Watanzania wanakuja Kenya ju ya ufukara 😆😆😆. These jokes keep writing themselves. Hivi Kenya kwenu ni kama ulaya, daaah!Kwani Kenya immigration kazi yao ni nini? If they are foreigners living illegally why dont they round them up and deport them just across the border by buses it is cheap kama cost ni kikwazo.
The truth is these are fellow Kenyans they have no where to go apart from Kenya and your government is feeding you with lies by providing you with lame excuses kuwa ni Watanzania ili kuficha their own weaknesses and ineptitude
Hujaona hiyo investigation ya BBC huyo mtoto alirudishwa Mwanza? Mzazi bado hali dhaifu miaka kumi baada ya kuuza mtoto3. “Ombaomba hana barcode kwa uso ajulikane ni Mtanzania”
Mmejuaje kama ni Watanzania then? Na kwanini baada ya kuwajua msiwarudishe au mmewapa Visa? Hili ndio swali la msingi kuliko yote.
Nakwambia fanya utafiti utagundua kuna mtu Ikulu pale anamiliki Ombaomba 2,000, wakileta 1,000 kwa siku si ana 2,000,000? Kuna Nyang’au (Mkenya) atakataa deal kama hili? 🤔😅😅
Nakumbuka sana kipindi kile Ummy Mwalimu alipokuwa anapelekeshwa na Magu kwenye ujenzi wa hiyo Hospitali kabla ya covid kuanza.Hii hospitali ilijengwa na Magufuli, imechelewa sana kuzinduliwa.
Watu mpaka wanapigwa picha na kuwekwa kwenye social media utasemaje "wakijulikana"?Wakijulikana wanarudishwa.
Hao wakenya wanawaleta wako biashara. Kwani uchumi wa Tanzania uko vibaya aje unaproduce tu omba omba?
Umewahi skia nchi yenye haiko na vita ikituma omba omba kwa majirani?
Kakosea huyo hio ni choo cha walevi 😅😅😅Wapi comment yako mwenyekiti. 😂😂😂
View: https://x.com/kanairaw1/status/1702607736976932981?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Kenya 🇰🇪 to Bongolians is like the US to Cental Americans… they jump the southern border just to give birth …. Chinese and other South East Asians do the same… the only difference with Bongo is, it cost them lots especially payments to Mexican cartels…..actually that gives me a great business idea… am relocating to Namanga….I have a job position for any Bongolala who can search for me your pregnant women….🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania kuna ufukara sana mpaka wazazi wanona heri kurisk kuuza mtoto wao Kenya aende Nairobi kwa sababu wameahidiwa watakuwa analipwa kila mwezi. Hivyo ndivyo mlivyo maskini hadi kilichobaki ni kuuza mtoto, alafu mnatuita maskini haha.
A drop in the ocean. One case does not qualify that all ombaombas are from Tz majority are Kenyans.Hiyo
Kwa hivyo BBC imedanganya kwenye hiyo documentary? 🤔. Walisafiri hadi mwanza wakapata wazazi wa huyo mtoto huku familia yenyewe imelemewa na umaskini ajabu. Hivi Mwanza iko Kenya? 🤔
Don’t you love Kenya?…. They would never do this in your country and you know it… the TV station would be shut down…. Don’t worry it’s not just you… same in Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia….wow!… am proud to be born in Kenya where I can speak up my mind….