Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pimbi wewe.
Kamau view ni truth 100%
 
Why is their 'diplomatic zone' giving Zimbabwe? 😂 😂 😂
Is this why no expats want to live in TZ while expats refuse to return home after a stint in Nairobi?
Kwanza the American ambassadors never leave… they retire and settle in Kenya…. That position is so coveted that only the top donors get it… for example Meg Whitman a tycoon top donor to Biden campaign is our ambassador … she picked Kenya from all other offers….if you check her background, you will understand why she chose Kenya….and before any Bongolalas here question about an ambassador choosing where to go, first understand America politics of political contributions and super pacs….please don’t spew ignorance….
 
Maswali ya kujiuliza:

1. Ombaomba wanaingiaje Kenya? Wanapita mipakani? Wana travel documents au wamepita njia za panya?
2. Kama hawana travel documents (which we don’t expect a poor beggar awe nazo) Je wanaishi vipi Kenya bila documents?
3. Kwanini Mamlaka za Kenya zisiwarudishe kama illegal migrants? Mbona zimewaacha waombe na kuhaibisha nchi yenu?
4. Wote humu tunajua namna mamlaka za Kenya na Kenyans in general walivyo harsh na binadamu wenzao ukiachilia mbali ‘wahalifu’ ambao hawana vibali, je nani anawalinda hao ombaomba?

Ukijibu haya maswali kwa kufanya utafiti unaweza kukuta hadi Ruto ana ombaomba wake na wanamletea hesabu pale nyumba nyeupe😅😅

So tulia soon tutakuja kuwaokoa ndugu zetu toka kwa magenge ya human trafficking yaliyojaa Kenya.
 

Reminds me of the Ugandan Ambassador who refused to hand over, saying Nairobi is getting 'sweeter for her'. 😂 😂


View: https://www.youtube.com/watch?v=AUA0DYn1Ftg
 
Watakaumbia wameacha kwa kuwa wao ni watu wema kuliko wote duniani . Na kama hivyo hawa watu ni primitive sana. Majanga ya ugaidi, uhuni na kila aina ya tabia za uncivilised society hayatawaacha.
 

1. Nani hajui panya routes zimejaa mpakani Kenya na Tanzania.
2. Wanaishi slum.
3. Omba omba hana barcode kwa uso ajulikane ni Mtanzania ndio arudiswhe. Ata US imejaa illegal immigrants.
4. Omba omba usalama wanapata kama wakenya wote.

Mtafute maendeleo muache kusumbua East Africa's giant na wakimbizi wa uchumi.
 
3. “Ombaomba hana barcode kwa uso ajulikane ni Mtanzania”

Mmejuaje kama ni Watanzania then? Na kwanini baada ya kuwajua msiwarudishe au mmewapa Visa? Hili ndio swali la msingi kuliko yote.

Nakwambia fanya utafiti utagundua kuna mtu Ikulu pale anamiliki Ombaomba 2,000, wakileta 1,000 kwa siku si ana 2,000,000? Kuna Nyang’au (Mkenya) atakataa deal kama hili? 🤔😅😅
 
Kwani Kenya immigration kazi yao ni nini? If they are foreigners living illegally why dont they round them up and deport them just across the border by buses it is cheap kama cost ni kikwazo.

The truth is these are fellow Kenyans they have no where to go apart from Kenya and your government is feeding you with lies by providing you with lame excuses kuwa ni Watanzania ili kuficha their own weaknesses and ineptitude
 

Wakijulikana wanarudishwa.
Hao wakenya wanawaleta wako biashara. Kwani uchumi wa Tanzania uko vibaya aje unaproduce tu omba omba?

Umewahi skia nchi yenye haiko na vita ikituma omba omba kwa majirani?
 
Tanzania kuna ufukara sana mpaka wazazi wanona heri kurisk kuuza mtoto wao Kenya aende Nairobi kwa sababu wameahidiwa watakuwa analipwa kila mwezi. Hivyo ndivyo mlivyo maskini hadi kilichobaki ni kuuza mtoto, alafu mnatuita maskini haha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…