joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Unajua maana ya neno kunawiri?, Inaendelea katika nchi chache na ndogondogo, Sasa Uganda, Ethiopia Somalia na Kenya Kuna biashara gani ya kujisifia?, UK pekee ilikua ikinunu mirungi yenye thamani zaidi ya mara 3 ya thamani ya nchi zote hizo 4 kwa pamoja, kitendo Cha UK kukataza hiyo biashara, ilikua ni pigo kwa hiyo biashara, hivi Sasa mnatapatapa lakini biashara sio nzuri kabisa.BAN ya UK ilikua 2014 kwanini biashara ya mirungi inaendelea kunawiri almost 10 years later
Yes, among civilized countries, France is not on top, too mush racism in France. When we talk civilized country good examples are Norway, Iceland, Sweden, New Zealand, Holland, Finland, Singapore. Ulishawahi sikia fujo yoyote kutoka Scandinavian countries, au Canada, au Macau?.So france, hongkong etc are uncivilized countries sababu wanaprotest very violently... Dictatorship countries only ndo wanaogopa kuprotest eg North Korea and Tanzania mtapigwa marisasi nyote na CCM [emoji1787][emoji1787]
Propaganda hizo za wakenya ziligonga mwamba, ukweli huu hapa, watanzania wote toka Ngorongoro walijengewa Nyumba za kisasa na kupewa Bure, hivi Sasa wanaishi maisha Bora zaidi.CCM dictator wakatili sana.
Mauaji ya kijinga Kama haya, huwezi kusikia yametokea katika nchi yoyote ambayo ni Civilized hapa duniani.CCM dictator wakatili sana.
Kama ruto alivyo wabutcher wajaluo 15?CCM dictator wakatili sana.
sa Danganyika imekua sweden au canada🤣🤣 dont be stupid low IQYes, among civilized countries, France is not on top, too mush racism in France. When we talk civilized country good examples are Norway, Iceland, Sweden, New Zealand, Holland, Finland, Singapore. Ulishawahi sikia fujo yoyote kutoka Scandinavian countries, au Canada, au Macau?.
Fujo zaidi ni USA(racism), Iran, Kenya, na nchi zingine zenye kusumbuliwa na ubaguzi. Jambo la kujifunza ni kwamba, France maandamano yalifanyika zaidi ya wiki 3, uaribifu mkubwa Sana ulifanywa lakini hakuna hata mtu mmoja aliyepigwa risasi wakati wa maandamano, Kenya ndani ya siku 2 tu, watu zaidi ya 2O wameuliwa na polisi, Kenya is a failed state.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watakuambia huo ni msitu ukatwe kujengwe concrete jungle. 😂 😂Upperhill Nairobi
View attachment 2688591
Very cold place.
Kenya is not a civilized country, too much killings, intimidation and violencesa Danganyika imekua sweden au canada[emoji1787][emoji1787] dont be stupid low IQ
View attachment 2688863
Wacha kubadilisha mada, tunazungumzia civilizationsa Danganyika imekua sweden au canada[emoji1787][emoji1787] dont be stupid low IQ
View attachment 2688863
Hii camera quality inaelezea mambo mengi sana kuhusu maisha yako unknowingly 😂😂😂This Upperhill. Just watch, more and more 30+ floor towers coming up. Upperhill, Eastleigh, Westlands, Highridge, Lavington, South C, Nairobi West all on full throttle.
View attachment 2688610View attachment 2688611View attachment 2688612
Takwimu ndio zinaongea nani zaidi nani sio sio hisia zako za chuki 😂😂Huyo mama hamna kitu kichwani, kitambo tu nilisema. Mbaya kavabishwa, hiyo ilikuwa 2019 bendera kuwekwa hapo. Huyo mama ni kituko!
Hapo Hakuna cha massive wala massivationMASSIVE 254!!![emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2688794
Kutakuwakuzuri sanaPropaganda hizo za wakenya ziligonga mwamba, ukweli huu hapa, watanzania wote toka Ngorongoro walijengewa Nyumba za kisasa na kupewa Bure, hivi Sasa wanaishi maisha Bora zaidi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app