Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha.... Thats art my friend. Art haibagui tuna pia za diamond na alikiba. Fanya bidii pia wewe tukuchore kwa hizi manyanga zetu si daladala.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mh! Upovizuri
zuwenna my sister,muulize kwanza ana ajira ya maana au kama sio muajiriwa,ana biashara zinazomuingizia kipato kizuri kinacho muwezesha kuishi na mtoto mzuri kama wewe?.

kuwa makini sana na vijana wa kikenya,usipagawe na hivi kingereza vyao vya kwenye mitandao ya kijamii.

wengi wao hawana ajira...ni ma-jobless wanao zurula mitaa ya CBD wakitafuta jengo linalotoa Huduma ya free Wi-Fi ili waweze kupata Huduma ya internet.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wajaribu waganda wenzenu.
Number of internet users in selected countries in Africa as of June 2017, by country (in millions)
Number of internet users in millions
Nigeria 91.6
Kenya 43.33
Egypt 37.33
South Africa 29.94
Morocco 20.54
Uganda 19
Algeria 18.58
Ethiopia 16.04
Sudan 11.81
Ghana 9.94
Tanzania 7.39
Zimbabwe 6.72
Cote d'Ivoire 6.32
 
Heheheh hapo ndipo hua nafurahia kua no of internet users in millions kenya 43.33 and population is 49 million inamaana mpaka watoto wadogo wamiaka 4 na wazee wanatumia internetπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hvi munapo danganya watu hua hamfikrii πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Omera we are digital. .....my 4 year old niece and nephew can easily use their smartphones. LDC mtajua hamjui
 
naona saa ii ndio stima zimerudi ldc baada ya kupotea kwa masaa 3.
poleni sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli hapo na mimi ndipo huwa nikifika wakenya wananikera kwa tabia yao ya uongo kwa kupenda sifa kuona wanakaribia kuwa ulimwengu wa kwanza wakati ni masikini hivi hapo kenya kila simu ina internet au hakuna watoto wala wazee au kila mtu ana device 10 ete 43 million du?!!!
 
Leta link iliyoandaliwa na international source sio makanjanja wakora wa kibera
 
ai msee diamond mtu bad sana(in kenyan swahili accent)....after diamond karanga taking over kenyan market, the product is now available in united kingdom.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…