Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiz takwimu huwa sizikubali hata kidogo...yaan kenya iizidi Uganda kuzalisha ndizi[emoji23][emoji23]...
Huu ni uongo
Lakini ukiangalia consumption of fertilizer per acrerage wako Juu kwenye mazao mengi Mzee..

Shida sie tunaangalia ukubwa wa eneo linalolimwa badala ya Tija ya kinachozalishwa,Iko hivyo hata kwenye mifugo nk
 
Hahaha, unachekesha Sana, do you have army, au ni kundi la walevi?
 
Tanzania football league is ranked number 6 in Africa, what about Kenya?. please let's talk by using "present tenses not past tenses". Mla ni mla Leo, mla Jana kala nini?
 
Hata wanyama hawawezi kuishi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…