Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ngoma za new generation. Kali hutoboi mzee 👇 . .https://youtu.be/TiomxBBAIbw. . . Hapo khaligraph ni mbwa tu, anaficha ubovu wa mashairi kwenye flow
Wow!… Wabongo wamekuwa Wakenya Jameni!… the cycle of mental colonization by Kenya to young Bongo minds is complete…. Am loving this…🤣🤣🤣😂
 
Nice flow …wow!.. iko lethal….but this more Kenyan than Bongo …. We started this …you are late comers in the game…
Hawez kuandika nyimbo anajua kuchana tuu...
Sijui ndio uchache wa maneno ya kiswahili!!!
Bt hata mistar yake ya kingee bado ni milaini yaan myepesi
 
Kwamba kuimba kiingereza ni kuwa mkenya, au kiingereza ni lugha ya kikenya, sijakuelewa
You figure out that one… Thanks fellas for the entertainment… kept me going in the office… I ordered papa John’s Pizza 🍕 and it just got delivered… am working late.. Have a goodnight horrible neighbors… 🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣Laleni salama!
 

Attachments

  • 3986E670-57CE-4DAF-9872-404993FA95C3.jpeg
    631.2 KB · Views: 18
Wewe sio mzima
 
msikilize huyo mwenzio anasema fid q yuko juu zaidi yake,kunyan kwenye music mtulie tu
 
 
The topic was not Kenya the topic was tanzania protesting over high taxes hehe nyani haoni kundule mnateseka just that your dictatorship government can’t allow people to express themselves ni Public Relations tu kuficha aibu
Hivi wewe una akili kweli? Hapo hapo unasema serikali yetu hairuhusu watu kujiexpress, hapo hapo unasema people were protesting because of high taxes. Hivi unajisikiliza kweli unachoongea??
 
Yani hapa sasa ndo umeonesha rasmi kwa hujui unachokiongea. Hujui chochote! Umejaa njaa tu!
 
I hope am not saying much but our Special Forces including the highly classified LRS unit have been deep inside Eastern DRC for years now…..there is more than what you read in the media…
Jinga hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaongea kama vile na wewe sio ndoto yako kuja Tanzania [emoji1241]! We all know it's a Kenyan dream to come to Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…