Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti Superior Neighbour 🤣
You are entititled to your own Inferiority complex opinion but not real facts. The whole world knows Kenya is better than Tanzania in almost every relevant sphere. Hata real Tanzanians accept that except a few here in this forum… Living in denial….Wivu tu…😄
 
Hakuna lolote. Acha kuishi kwa kukariri mambo ya kizamani.🤣
Hakuna lolote? 😂😂
Wakati nyinyi hushtuka kuona residential apartments zikijengwa hadi kizitaja humu ndani, Nairobi ni jambo la kawaida sana. Haya yote ni residential apartments and many more are built everyday
 

Attachments

  • images - 2023-03-08T170024.256.jpeg
    40.8 KB · Views: 2
Hata uweke mapicha vipi hakuna chochote cha ajabu hapo wewe, nyang'au. Acha ushamba.
 
Bado ninasubiri zile data za export za manufactured goods za Kenya na tonnes of exported meat za 2021/23 please

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Dunia inajua kwamba Kenya ni nchi yenye njaa, terrorism, corruption, tribalism and political violence, kitu gani zaidi kinaitambulisha Kenya duniani ukiondoa marathon runners?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
I love the way you cherry pick issues but still I will agree to lower myself to your level for a minute… let’s address each
1/ You export unfinished products to Kenya, a characteristic of an LDC
2/ you host white collar Kenyans , we host your beggars
3/ white collars jobs create more income than begging. And America cannot survive without Mexican cheap labor . Agriculture and construction industries would collapse….Now you know
4/ Political violence once every 4 years !… I give you that one but still we are Politically more mature and
economically superior
5/ Tanzania corruption is hidden since you have no free media… next
6/ Banditry is a menace and a shame to our nation… You win!….
7/ We have a free market liberalized economy… hatuna Ujamaa … Cartels and Politicians, we can handle them..
Now go listen to Vavayo…. My dedication to you..🤣
 
Hata uweke mapicha vipi hakuna chochote cha ajabu hapo wewe, nyang'au. Acha ushamba.
Of course hakuna cha ajabu. Cha ajabu tu ni kwamba nyinyi mkiona residential apartment ikijengwa hapo Dar ni kitu cha ajabu hadi itajwe hapa jukwaami. Nairobi residential apartments zipo kila mahali
 
Huyo kilaza wa Tandale kwa mfuga mbwa umemjibu vizuri sana. Ngoja arudi na povu zake kama kawaida
 
Upuuzi mtupu.
Upuuzi ni kushangazwa na kuona residential apartment ikijengwa Dar. But of course mmezoea kuona uswazi kila mahali. When you see a residential apartment coming up somewhere, lazima mbaki vinywa wazi. Mji wa kijinga sana
 
Have been following on the village Stadiums being constructed in Kenya.

Though still long way to go, but are good strides in the right direction.

I have realised that there are 15 of such stadia in Kenya under construction
1.

2.
3.
4.


5
6

7.

8
9
Just a few examples
 
Tuanze mm na wewe, weka vitu ambavyo vipo Nairobi na havipo Dar alafu mm nikuwekee bila vilivyopo Dar na havipo Nairobi ili tujue nani ni giant, hayo mambo ya history achana nayo yameshapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…