Halafu hawa nyang’au wanajifanya hawajui kuwa Kibera na Mathare nazo ziko Nairobi.😂😂Source kutoka world bank au ??🤣🤣🤣🤣
No wonder price ya real estate Dar ni more than that of Nairobi for $3b.Hua wanaulizia middle income wanaishi wapi waambieni hii mikocheni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2580291
Deplorable legacy of Kikwete and his cronies!🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Informal economy at its best.
Niliwaambia hapa. Sasa mnaona. Tangu nilikuwa huko 2019, haya majengo hayakuwa na tenants. Yote hayo marefu. Kuna moja tu ilikuwa nusu.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Informal economy at its best.