Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf wako comfortable kabisa kupanda kwenye malori wanaona sawa kabisa [emoji1787][emoji1787] alaf uwaskie walivo kimbelembele wakitetea haki za binaadamu ilihali wao wanaishi kama wanyama

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki za Binadamu zinapotezewa hivi hivi kuanzia kwenye hayo masufuria [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki za Binadamu zinapotezewa hivi hivi kuanzia kwenye hayo masufuria [emoji23]
Yani mm nashangaa alaf anatoka kabisa anajisifu 😆😆 yani hata huyo mjapan alietengeza fuso anastaajabu na hii kenya kaaah utakuta wameekewa AC ya majumbani 👇👇👇👇👇 lock za milango ni za stoo na kufuli juu
 
kwa style hii kilimo cha Tanzania kinaenda kukipita mpaka kilimo cha South Africa

dollars millions 300 for irrigation is thousands of hectares for irrigation schemes

Kiuzalishaji tumeshawapita kitambo as tunaproduce mazao mengi kwa wingi mkubwa kuliko wao na sector yetu ya kilimo inaajiri watu wengi kuliko yao. Kitu walicho mbele yetu ni utumiaji wa mbolea, pesticides, umwagiliaji na ulimaji wa kisasa.
 
Kumbe ni SA nilifikiri unaongelea failed state ndio imetupita kwenye irrigation nilitaka kuhama nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona mna nchi ya kifala? Hiyo gari ikigongwa insurance ipi inalipa? Maana hata kama haijakuwa registered kuna namba maalum inapaswa kuwa nazo kuifanya kuwa road worthy!
Utateta hadi lini 🤣 mtu ananunua gari kama hio unafikiria anategemea insurance sana 😅
 
These houses in Kitisuru in Nairobi are selling at 500,000,000 Kshs. OK. 15 remaining for sell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…