Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umeamua kupiga uppercut kwenye korodani kabsaaa!! mwana umeua kizazi🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Waswahili husema mchana huenda na usiku hurudi 🤣🤣🤣
 
Ukweli hawa watu ni mafukara,
Yaani bei ya Unga wa ugali imesababisha maandamano ya nchi nzima ?
Dunia inawalazmisha wabadilike na sio kukaa kujificha kwenye uongo wa kudanganya dunia hii

Wakubaliane na madhaifu yao wajue dunia inafahamu uongo wao warudi chini wajipange vzr huo ndio ushaur wangu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…