ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,367
- 89,783
Pole ,wakati mnamsubiria mzungu,Project ya HEET inatekeleza na vyuo 12 mojawapo ni hicho Cha Sokoine.Kenya double the number of Universities in Tanzagiza.
Nani kakuambia hatujengi universities Kenya? Kwanza tunajenga vitu high quality kuwaliko.Pole ,wakati mnamsubiria mzungu,Project ya HEET inatekeleza na vyuo 12 mojawapo ni hicho Cha Sokoine.
Tunajenga universities kwenye Mikoa yote ambayo Haina universities na tunapanua vilivyopo,over tsh.bil.900 zitatumika.
Alafu Mwanza Iko na Barabara mojaπππ€£The ugly mwanza vs Kisumu city.......View attachment 2557120View attachment 2557121
These Tanzanian town aerial views tell the whole story.....very ugly and unplanned......maybe it's only Arusha that got it right because of its proximity to NairobiAlafu Mwanza Iko na Barabara moja[emoji23][emoji23][emoji1787]
Nadhani ilikuwa extension!Gas plants are so cheap 188Mil usd for 185 MW ..au gharama yake ni kununua gas na frequent maintance ?
Maana juzi tu 87mW ya kakono project inakula zaidi ya 200mil usd .
hata huyo wa Dar alianza kuona flyover 4 years ago wakati sisi tulianza kuziona enzi za KibakiUkimuliza mtanzania yeyote outside Dar ati flyover ni nini? Hawawezi kakujibu, hata hiyo flyover kwanza ndio hawajaiskiaπππ
Hakuna mtu atakukataza kujifurahisha humu. Hiyo picha umeweka sijui ni Mwanza ya mwaka ganiThe ugly mwanza vs Kisumu city.......View attachment 2557120View attachment 2557121
Wacha kujipa umuhimu we famba.. Arusha haingii hata top 5 kwa miji ya Tz iliyopangwaThese Tanzanian town aerial views tell the whole story.....very ugly and unplanned......maybe it's only Arusha that got it right because of its proximity to Nairobi
Flyover ya Kwanza Dar ilijengwa 2019. ππππ€£hata huyo wa Dar alianza kuona flyover 4 years ago wakati sisi tulianza kuziona enzi za Kibaki
Dar is Slum is the father of disorganization.These Tanzanian town aerial views tell the whole story.....very ugly and unplanned......maybe it's only Arusha that got it right because of its proximity to Nairobi
Si waweke airbridges kabisa? Au ndio mwendo wa Nairobi Terminus?
Mimi nilijua Tu kwamba mwezi wa tatu hatoboi huyu!Huyu Sino Hydro anatuyeyusha kishenzi pumbavu zake, sijui kamshika nani Makende huko kwa Government. Gadem it!!View attachment 2556967
Kurasini flyover ipo tangu kipindi cha Kikwete!Flyover ya Kwanza Dar ilijengwa 2019. ππππ€£